ukuwi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 861
- 1,426
Alafu una malizia Kwa kiswahili kabisa ili wasi endelee kuku sumbua sumbua na maswali yasiyo na msingi KOLOKOLONI huku una shushia na glass ya maji Kisha una ingiza mkono mfukoni unatoa ka techno Kako unapiga ule wimbo wa Msondo Ngoma KUZALIWA MWANA UME MATESO MATESO KUHANGAIKA.......[emoji23] [emoji23] [emoji23] af unakuta unaulizwa did u mean a military officer