Alafu una malizia Kwa kiswahili kabisa ili wasi endelee kuku sumbua sumbua na maswali yasiyo na msingi KOLOKOLONI huku una shushia na glass ya maji Kisha una ingiza mkono mfukoni unatoa ka techno Kako unapiga ule wimbo wa Msondo Ngoma KUZALIWA MWANA UME MATESO MATESO KUHANGAIKA.......[emoji23] [emoji23] [emoji23] af unakuta unaulizwa did u mean a military officer
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daa nimecheka sanaAlafu una malizia Kwa kiswahili kabisa ili wasi endelee kuku sumbua sumbua na maswali yasiyo na msingi KOLOKOLONI huku una shushia na glass ya maji Kisha una ingiza mkono mfukoni unatoa ka techno Kako unapiga ule wimbo wa Msondo Ngoma KUZALIWA MWANA UME MATESO MATESO KUHANGAIKA.......
Kwani lina maana gani kwa kiswahili?
HahahahAnauliza unapataje vocha za kuunga bando la kuingia JF
Ahaaaa.Anauliza unapataje vocha za kuunga bando la kuingia JF
Ka ofa kapi hako?Ahaaaa.
Mm ninatumia kaofa kutoka kwa max.
sipendagi kuwa open sana kwa kila mtu so ni kwa wale nnao watrust 2 ndo huwa na waambia ukweli kwa wengine jibu ni NIPO NNAPAMBANA PAMBANA TU."WHAT YOU DOING FOR A LIVING?"
Kalaini ka chuo bibie.Ka ofa kapi hako?
Unalikwepa Sasa[emoji23]Swali kuntu hili.
[emoji125] [emoji125]Unalikwepa Sasa[emoji23]