"What goes around comes around"

"What goes around comes around"

Nima Imma

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
2,473
Reaction score
3,669
Wamama/wadada mpo ???? Leo nataka kusema na nyinyi kidogo sana

Hivi kipindi wewe ni msichana unatembea na mume wa mtu unasababisha ile familia inalala njaa ,,watoto wanakosa ada,, mke anaonekana kazeeka hafai kwa ajili yako si uliona sawa kabisa kiasi ukaamua kutafuta na namba ya huyo mke wa mtu na kuanza kumtukana??? Mama wa watu anakesha kanisani huku akimwaga machozi

Yote hayo Mungu alikulinda huyo mwanaume asije kukufia gesti ,,, basi miaka imeenda umepata kijana mwenzio anataka kukuoa umefurahi na kusahau yote ulofanya(bila kutubu )ndoa imepita salama baada ya mwaka mwanaume anabadilika malaya hafai

Analala mpka nje kesi zinaanza hapo unaanza kuomba ushauri kwenye mitandao ya kijamii unaanza kwenda kwa waganga mara kanisani ,,,unafanya kila kitu hamna mafanikio

Sasa mwanaume yeye akiulizwa mbona hiv anasema "shetani kampitia" yes ni shetani kweli kampitia tena shetani mwenyew ni ww maana wanasena anayekuloga hatoki mbali matendo yako ya nyuma yamemloga mumeo, machozi ya yule mama(chozi la mnyonge halipotei) yameiloga ndoa yako,,

Wanawake wenzangu nawasihi sana usiku wa leo jaribu kutafakari wapi kwanza ulikosea kisha kaombe msamaha kama inawezekana ama nenda katubu kama ni kanisani ama msikitini ama popote pale kulingana na imani yako

Kwenu kaka zangu ikiwa ulikuwa huna tabia mbovu ila tangu umeoa ww mwenyew unajishangaa umebadilika gafla nenda kamuulize mkeo ""
 
Ningetukana ila sitaki ban
Sasa wewe kwani wanawake unaowalaumu hapa huwa wanachepuka wenyewe kwa wenyewe?si na wanaume?

Au hiyo what goes around comes back around haiwi applied kwa wanaume wachepukaji?
Nasikitika kusema huna akili

[HASHTAG]#p0vuuuuuuuuu[/HASHTAG]
 
What you have to know my dear. Now days kuna kitu kinaitwa struggle for the fittest.

Pia Jitahidi utimize kila kitu kwenye ndoa yako hakika mchepuko hutoiskia. Maana haijalishi mtu katembea na wanaume wawatu alafu akifika kwenye ndoa ya mme wake atulie kutokana anovyo mhandle na kumweshim
 
Naona umepaniki sana .....ukisikia paaa,,, katubuni dhambi zenu tumechoka kuombwa ushauri ....namalizia na kisunyoooo
 
Malipo ni hapa hapa duniani ......nimewakumbusha tu mahali tupipoteleza tujirekebishe
 
Naona umepaniki sana .....ukisikia paaa,,, katubuni dhambi zenu tumechoka kuombwa ushauri ....namalizia na kisunyoooo
kassimneema sijapanik ila ujumbe wako ulitakiwa uwagusie jinsia zote...mana wote huwa wanasaliti
Binafsi hadi sasa sijawahi kutembea na mume wa mtu
 
Sasa leo nimeamua kugusiwa wanawake wenzangu siku ingine wanaume sasa huko kutaka kunitukana halafu iweje?? Hata ww unaweza wafungulia uzi my dear ,,,

Mm nimechoka kuona tukiomba ushauri kila mahala ,,, ohh mume hiv mume vile kumbe ww mwenyew unajikuta unamadhambi yako yasostahimilika
 
Nilisema kutukana sio kukutukana...nilipokosea ni kusema huna akili,sorry hapo ndio nilikosea

Ila kivyovyote vile ujumbe uwahusu jinsia zote, wala sina haja ya kuanzisha uzi mpya kwa ajili yao
 
Hii kweli kabisa, sema ndio hivyo mwanadamu kila wakati anajiona yeye mjanja bila kujua anajiharibia maisha yake ya mbeleni
 
Ningetukana ila sitaki ban
Sasa wewe kwani wanawake unaowalaumu hapa huwa wanachepuka wenyewe kwa wenyewe?si na wanaume?

Au hiyo what goes around comes back around haiwi applied kwa wanaume wachepukaji?
Nasikitika kusema huna akili

[HASHTAG]#p0vuuuuuuuuu[/HASHTAG]
Mbona ameandika vizuri tu,
 
What you have to know my dear. Now days kuna kitu kinaitwa struggle for the fittest.

Pia Jitahidi utimize kila kitu kwenye ndoa yako hakika mchepuko hutoiskia. Maana haijalishi mtu katembea na wanaume wawatu alafu akifika kwenye ndoa ya mme wake atulie kutokana anovyo mhandle na kumweshim
Malipo ya mkosaji lazima yalipwe hata kama utamhandle mwenza wako kwakumbeba wakati wote, kama ulitendea wenzako vibaya basi ujue yatakupata kwa kiwango kile kile, hii nikweli kabisa
 
Hii kweli kabisa, sema ndio hivyo mwanadamu kila wakati anajiona yeye mjanja bila kujua anajiharibia maisha yake ya mbeleni
Kabisa mkuu,,, tatizo wanawake tunapenda sana kulalamika kuliko wanaume na ndio mana wanaume wanaonekana wabaya kila siku
 
Back
Top Bottom