Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mambo mabaya kiasi chake .Mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo mabaya kiasi chake .Mambo
Usipende kusema Sorry when you are RIGHT ..DONT FEEL SORRY OF YOURSELF !!....Nahisi sio -ve ila ulijaribu kudeviate kidogo.
Kasema leo ni ke it means anajua pia me wanafanya ila uzi wao utakuja.
Sorry kama utakwazika mkuu
Hapana kawaida female ni wanaumeFemale wanakuwa waume?
Nina uhakika mkuu.Usipende kusema Sorry when you are RIGHT ..DONT FEEL SORRY OF YOURSELF !!....
Kusema sorry ktk ukweli ,inamana huna uhakika na unachokisema !!.
Basis vzur ,, Sema ukweli alafu muache ahangaike , akikutusi ,naww tusi mars mbili yake.Nina uhakika mkuu.
Ikumbukwe kuna wanadamu ukweli wanauchukia ndo maana tunawaomba samahani kabla hawajatutukana.
Hahaha sawa mkuuBasis vzur ,, Sema ukweli alafu muache ahangaike , akikutusi ,naww tusi mars mbili yake.
Akikaa kimya naww kaa kimya !!!! Easy kabisaa , aya mambo yakutaka kuambiwa kwa kubembelezwa yashapitwa nawakati.
WANAWAKE WACHACHE SANA SIKU IZI NDO UNAWEZA MWAMBIA **AM SORRY**.
ujue sorry nineno LA zito nalahisia sana ??.
Yaaah Mkuu !! Just do it !!.Hahaha sawa mkuu
Mambo mabaya kiasi chake .[/QU
Poleee sanaa