"What goes around comes around"

"What goes around comes around"

Nahisi sio -ve ila ulijaribu kudeviate kidogo.

Kasema leo ni ke it means anajua pia me wanafanya ila uzi wao utakuja.

Sorry kama utakwazika mkuu
Usipende kusema Sorry when you are RIGHT ..DONT FEEL SORRY OF YOURSELF !!....

Kusema sorry ktk ukweli ,inamana huna uhakika na unachokisema !!.
 
Usipende kusema Sorry when you are RIGHT ..DONT FEEL SORRY OF YOURSELF !!....

Kusema sorry ktk ukweli ,inamana huna uhakika na unachokisema !!.
Nina uhakika mkuu.

Ikumbukwe kuna wanadamu ukweli wanauchukia ndo maana tunawaomba samahani kabla hawajatutukana.
 
Nina uhakika mkuu.

Ikumbukwe kuna wanadamu ukweli wanauchukia ndo maana tunawaomba samahani kabla hawajatutukana.
Basis vzur ,, Sema ukweli alafu muache ahangaike , akikutusi ,naww tusi mars mbili yake.

Akikaa kimya naww kaa kimya !!!! Easy kabisaa , aya mambo yakutaka kuambiwa kwa kubembelezwa yashapitwa nawakati.

WANAWAKE WACHACHE SANA SIKU IZI NDO UNAWEZA MWAMBIA **AM SORRY**.

ujue sorry nineno LA zito nalahisia sana ??.
 
Hahaha sawa mkuu
 
Hahaha sawa mkuu
Yaaah Mkuu !! Just do it !!.

Faida moja ya ukweli nikwamba ,, huwez kusahau au kujifanya hujausikia ili mradi tu umeshaupata , so atakaa chini , atawazaaaa, mwenyewe atakufata atakuambia nashukuru kwa kuniambia ukweli ,nmeelewa vzur
 
Kuna liMarehemu flani liliwahi sema upinzani ukichukua nchi litaingia msutuni.. Sadly likatangulia lenyewe ...

Mungu najua huko hutuangushi libebeshe ndoo za maji na kichura chura mpaka sayari ya Jupiter kila siku
 
Back
Top Bottom