"What goes around comes around"

Hajakaa akatulia ila alikuwa na wazo. Ameegemea upande mmoja sana bila kujua haea wanaume nao walishiriki
Nasikitika kusema hakutumia akili
 
Nimeshajibu juu mimi n ke na ni mke wa mtu na maisha ni safiiiiiii sana mana nilishashtuka nikatubu [emoji1]
Wala usiwaze kabisaa, wewe uko humu JF muda mrefu sana !!.

MTU kukuuliza ilo swali nikm anajarib kukutikisa ,nawala usitikisike kabisaaa
 
Kuna wrn
Malipo ya mkosaji lazima yalipwe hata kama utamhandle mwenza wako kwakumbeba wakati wote, kama ulitendea wenzako vibaya basi ujue yatakupata kwa kiwango kile kile, hii nikweli kabisa
ine walitolewa bikita na waumr zaonna bado wanaume zaoneakawa vicheche. Acha kukariri. Kikubwa ni sala
 
Hajakaa akatulia ila alikuwa na wazo. Ameegemea upande mmoja sana bila kujua haea wanaume nao walishiriki
Nasikitika kusema hakutumia akili
Ww unayetumia akili walau akili kidogo nakuomba ufungue uzi kwa wanaume mm nawasema wanawake nawaojua wanaume watasemwa na wanaume wenzao ,,

Naona nimewakaba mpka pa kupumulia hamna

Bado nitashuka na mwingine tena nitawakera mpka wanawake tubadilike
 
Unamkaba nan sasa kama hutumii tu akili?
Jaribu kujua unasema nn
 
Hajakaa akatulia ila alikuwa na wazo. Ameegemea upande mmoja sana bila kujua haea wanaume nao walishiriki
Nasikitika kusema hakutumia akili
Amesema leo zamu yetu kutuelezea wanawake kwanza...point yangu ilikuwa kama yako
 
Nimesoma kila kitu na nimeelewa wazo la mleta mada,ila nilichoongezea mimi nahisi watu wamekichukulia negative
Nahisi sio -ve ila ulijaribu kudeviate kidogo.

Kasema leo ni ke it means anajua pia me wanafanya ila uzi wao utakuja.

Sorry kama utakwazika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…