ikhlas
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 1,050
- 1,308
Japo sipendi kujadili maisha ya mtu,lkn hua navutiwa kujadili maisha ya masupa staa.Leo naomba wadau mnisaidie ,nini kimemkuta HASHEEM THABIT ,alianza vizur hadi akkandika historia ya kua Mtanzania wa kwanza kucheza NBA ,lkn ghafla,akawa relegated na sasa hayupo NBA tena.Je ataweta tena kurudi juu??