Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 945
- 1,819
Utukufu ni wa Mungu tuuMtukufu anajua ratiba zao vizuri,mpaka "imooooooooooo" anaipata!Muulize sasa kama anajua kipindi chochote TBC
wanawashwa nini mkuu...tufafanulie....tutahisi wanataka kukunwa...tuwakune na mikunio ...wanawashwa hao
HahahMAKONDA FM.
Wewe mchocheziUtukufu ni wa Mungu tuu
Hakuna mtukufu dunian wewe au kwavile Shisha alisema aliposimama yeye na kamungu kake kamesimama ndo na wewe ukaanza kumuamin.....Mtukufu anajua ratiba zao vizuri,mpaka "imooooooooooo" anaipata!Muulize sasa kama anajua kipindi chochote TBC