Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 945
- 1,819
Mashabiki wa Clouds hivi media inaweza kufanya Trolling katika official Twitter Page?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utukufu ni wa Mungu tuuMtukufu anajua ratiba zao vizuri,mpaka "imooooooooooo" anaipata!Muulize sasa kama anajua kipindi chochote TBC
wanawashwa nini mkuu...tufafanulie....tutahisi wanataka kukunwa...tuwakune na mikunio ...wanawashwa hao
HahahMAKONDA FM.
Wewe mchocheziUtukufu ni wa Mungu tuu
Hakuna mtukufu dunian wewe au kwavile Shisha alisema aliposimama yeye na kamungu kake kamesimama ndo na wewe ukaanza kumuamin.....Mtukufu anajua ratiba zao vizuri,mpaka "imooooooooooo" anaipata!Muulize sasa kama anajua kipindi chochote TBC