What happened to Eliud Kipchoge?

What happened to Eliud Kipchoge?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
EjfFhOQWsAIVAmd

======

What Happened to Eliud Kipchoge in London?

By Cathal Dennehy

Eliud Kipchoge said he experienced an issue with his right ear during the London Marathon, which led to his subpar performance.
In cold and rainy conditions, the world-record holder finished eighth in 2:06:49, more than a minute behind winner Shura Kitata of Ethiopia. He began to lose contact with the leaders with about 5K left to run.

After the race, a visibly upset Kipchoge explained what occurred. “I started off well. But I just got a slight problem with my right ear. It got blocked, and I tried to do all necessary, I tried to hold back, but it was not possible. But this is sport. Today you are up, tomorrow you are down.

“I am truly disappointed. I always wanted to win to show people you can always win if you focus yourself and always get good results. I’m sorry about this, but that’s how sport is.”

“His right ear got fully blocked. From then he also didn’t go for the drinks anymore, and it somehow affected the whole system,” Valentijn Trouw, Kipchoge’s manager, said via text message.

While some feared it might spell the early signs of a demise for Kipchoge, the 35-year-old said he would return to the top level.
“Sport is unpredictable, but you know what they say: If you want to enjoy sport then you accept the results. So I accept the result and congratulate all finishers.”

Asked if he would be back running the marathon, he said, “I am going back and hopefully I will come next year here in London and the Olympic Games. It’s not the end of the world.”

Source: What Happened to Eliud Kipchoge in London?
 
Visingizio vingine buana, eti shida ya sikio 😂 kwani akisema kazidiwa tutamcheka!!.
Mtu ametoka kushinda world record haijaisha mwaka mmoja aje ashindwe kuwin kalondon marathon? Loose yenyewe ni ya dakika 1 na sekunde 15. The guy is still extraordinary.

Na hakuna mtu amewahi kimbia London Marathon faster than him.. ana record ya 2.02.15 kama sikosei.. waleteni wahabeshi wenu woote hamtakaa mumfikie.. eti wanasema Ashura Kitata kazaliwa 1996? Jameniii? Kwa sura chachu lile? Tusidanganyane, bora Kipchoge anakubali ana umri wa miaka 35, yule Ashura Kitata lazima ana miaka zaidi ya 40, sio kwa makunyanzi yale.
 
Mtu ametoka kushinda world record haijaisha mwaka mmoja aje ashindwe kuwin kalondon marathon? Loose yenyewe ni ya dakika 1 na sekunde 15. The guy is still extraordinary.

Na hakuna mtu amewahi kimbia london marathon faster than him.. ana record ya 2.02.15 kama sikosei.. waleteni wahabeshi wenu woote hamtakaa mumfikie.. eti wanasema shura kitata kazaliwa 1996? Jameniii? Kwa sura chachu lile? Tusidanganyane, bora kipchoge anakubali ana umri wa miaka 35, yule ashura kitata lazima ana miaka zaidi ya 40, sio kwa makunyanzi yale.
It's nice, vile Umekuwa MKWELI!
 
Kwahiyo kama alishashinda huko nyuma lakini amezembea katika kujitayarisha hawezi kushindwa? Hakuna cha kisingizio, ameshindwa tena vibaya sana kwa aibu kubwa, arudi akajipange upya.
 
Watu msichokijua Eliud uwezo wake umepungua Sana Mmimi nilitegemea kabisa atafail. Mara ya mwisho alikimbia MARA+MATHON ile ya 10 km Alikimbia kwa 31min compare na INEOS 28 min.

Pia ile ya kukimbia chini ya 2hours haikutambuliwa coz ilikuwa na mapungufu mengi. Sababu za hip na sikio hazina mashiko Sana. Tena Jana watu walimfanya pacer wao hadi kawapotezea muda. Pale mshindi alitakiwa acheze 02:03 au 02:02.
 
Mtu ametoka kushinda world record haijaisha mwaka mmoja aje ashindwe kuwin kalondon marathon? Loose yenyewe ni ya dakika 1 na sekunde 15. The guy is still extraordinary.

Na hakuna mtu amewahi kimbia london marathon faster than him.. ana record ya 2.02.15 kama sikosei.. waleteni wahabeshi wenu woote hamtakaa mumfikie.. eti wanasema shura kitata kazaliwa 1996? Jameniii? Kwa sura chachu lile? Tusidanganyane, bora kipchoge anakubali ana umri wa miaka 35, yule ashura kitata lazima ana miaka zaidi ya 40, sio kwa makunyanzi yale.
Kushinda marathon last year sio guarantee Kushinda next year... If ingekuwa ivo wanariadha wote wangeweza. Eliud kashindwa, tatizo mnaforce na kuamini ana uwezo kumbe kashindwa... Halafu alianza kuchemka above 30 km.. Yeye anasema sikio km 25.Aache Usanii. Akubali kushindwa.
 
Wewe ndio hovyo kabisa, kwahiyo kama alishashinda huko nyuma lakini amezembea katika kujitayarisha hawezi kushindwa?. Hakuna cha kisingizio, ameshindwa tena vibaya sana kwa aibu kubwa, arudi akajipange upya.
Eti 24 years?? Kweli? Niue kwanza ndio nitaamini

Screenshot_20201005-063806.jpg
 
Wewe ndio hovyo kabisa, kwahiyo kama alishashinda huko nyuma lakini amezembea katika kujitayarisha hawezi kushindwa? Hakuna cha kisingizio, ameshindwa tena vibaya sana kwa aibu kubwa, arudi akajipange upya.
huo ni wivu tu, we unayesema hivo hata nusu saa huwezi kukimbia ulimi nje kama mbwa mwizi halafu unamponda kipchonge.

Hata kuumwa sikio ni daktari wake anajua na maumivu ni yeye anajua ,angezidiwa kwa dk 5 au 10 ingekuwa jambo la kushangaza ila kazidiwa dk 1 ukijumlisha na umri wake .Watu mna roho mbaya sana.
 
Kushinda marathon last year sio guarantee Kushinda next year... If ingekuwa ivo wanariadha wote wangeweza... Eliud kashindwa ..tatizo mnaforce na kuamini ana uwezo kumbe kashindwa... Halafu alianza kuchemka above 30 km.. Yeye anasema sikio km 25.Aache Usanii.. Akubali kushindwa
Ameanza kushinda back to back mara ngapi, gap ya dk 1 ni ndogo sana bado ataleta changamoto kwenye riadha.
 
huo ni wivu tu ,we unayesema hivo hata nusu saa huwezi kukimbia ulimi nje kama mbwa mwizi halafu unamponda kipchonge .

Hata kuumwa sikio ni daktari wake anajua na maumivu ni yeye anajua ,angezidiwa kwa dk 5 au 10 ingekuwa jambo la kushangaza ila kazidiwa dk 1 ukijumlisha na umri wake .Watu mna roho mbaya sana
Bakele alijitoa mapema alipoona ameumia hawezi kushiriki, ukiamua kushiriki ina maana upo vizuri, mbona aliposhinda tulimpongeza, sasa aneshindwa hutaki tuseme ukweli badala yake mnajaribu kutoa visingizio.

Umri wake umeshakua mkubwa, enzi zake zimeanza kwisha, hilo ni jambo la kawaida lazima mkubaliane na matokeo na kuanza kumtayarisha mwengine badala ya kuanza kutoa sabababu za ajabu ajabu kama kwamba hawezi kushindwa.
 
Dah baadhi ya wabongo mna wivu kupindukia. Eti leo mnambeza Eliud kisa eti hakushinda? Alafu wakati alipovunja ile rekodi ya INEOS 1:59 hamkumpongeza. Tena yupo kwenye Top 10, nafasi ya 8 na muda wa 2:05:41, kwenye mbio ambazo hakuna mwanariadha aliyenusia rekodi yake ya 02:01:59(official). Hata bila majeraha kwenye michezo performance ya mtu kubadilika ni jambo la kawaida, acheni huo uchawi wenu.
 
Pumbafu za wewe, hujui kitu utakuwa nyanya, huyo babu ako kepchoge kakwambia sikio iko na shida imemfanya ashindwe now what you want to tell us ..😬!!

Back
Top Bottom