Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,076
- 14,775
Gikuyu, lugha anayotumia Ngugi wa Thiong'o kuandika vitabu
Nimekosa kitu Kama hiyo kwa vitabu zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gikuyu, lugha anayotumia Ngugi wa Thiong'o kuandika vitabu
Sikio ndio linakupa balance ya kutembea na kukimbia usipepesuke au kuyumbayumba au kuanguka kabisa.Uongo mmezidisha, acheni uongo.
Inawezekana vipi kuziba sikio kuhusiane na miguu??, angesema labda kichwa kilimuuma kwa ghafla kiasi fulani ningekubali.
Mtu unapoamua kudanganya tafuta UONGO unaingia akilini.
Huyo mtu wenu hakutumia PED, aliogopa kunaswa.-- mseme kweli tu.🤣
Sikio ndio linakupa balance ya kutembea na kukimbia usipepesuke au kuyumbayumba au kuanguka kabisa.
Kama sikio moja kutofanya kazi hiyo ni sababu tosha.
Umri he is above 40 hata sura yake inaongea
Hii mtu umri umemtupa mkono! Inagonga above 45!Kwahiyo kama alishashinda huko nyuma lakini amezembea katika kujitayarisha hawezi kushindwa? Hakuna cha kisingizio, ameshindwa tena vibaya sana kwa aibu kubwa, arudi akajipange upya.
No human is Limited....!!Kashinda Tena. Una neno Juu Yake tafadhali??Bakele alijitoa mapema alipoona ameumia hawezi kushiriki, ukiamua kushiriki ina maana upo vizuri, mbona aliposhinda tulimpongeza, sasa aneshindwa hutaki tuseme ukweli badala yake mnajaribu kutoa visingizio.
Umri wake umeshakua mkubwa, enzi zake zimeanza kwisha, hilo ni jambo la kawaida lazima mkubaliane na matokeo na kuanza kumtayarisha mwengine badala ya kuanza kutoa sabababu za ajabu ajabu kama kwamba hawezi kushindwa.
Wachawi hao, walikuwa wanamponda kisa wivu sio kwamba wanamjali. Hutawaona hata siku moja wakimpongeza kwa ushindi wake. Bure kabisa!No human is Limited....!!Kashinda Tena. Una neno Juu Yake tafadhali??
Aibu iko kwako tu, wasemaje sahi! Midomo imepigwa zipu kudadadeki! 🤣 🤣 🤣Kwahiyo kama alishashinda huko nyuma lakini amezembea katika kujitayarisha hawezi kushindwa? Hakuna cha kisingizio, ameshindwa tena vibaya sana kwa aibu kubwa, arudi akajipange upya.
Vipi sahi, unasemaje? Jamaa yenyu katoka position 24, Duh, aibu kubwa hii Jameni! 🤣 🤣 🤣 🤣Wakenya wana macorona ndio maana hawapo kwenye domination, Ethiopia wapo vizuri
Tunampongeza tena, ila akishindwa muache kutoa visingizioNo human is Limited....!!Kashinda Tena. Una neno Juu Yake tafadhali??
Hivi Sasa amejiandaa vizuri sio Kama wakati ule, hongera zake. Ninyi wakenya ni watu wa ajabu Sana, hamtaki kukubali mapungufu yenu, mnadhani ninyi ni "Perfect people", hamkubali kwamba alishindwa kihalali kabisa, lazima mtoe visingozio, stupidity at the highest degreeAibu iko kwako tu, wasemaje sahi! Midomo imepigwa zipu kudadadeki! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Ukipata infection ya sikio linaweza kabisa kukuangusha mwereka bila kutarajia. Naongea kutokana na uzoefu.Siyo kweli, mimi mwenyewe nimewahi kuziba sikio moja karibu mwezi mmoja wala sikupatwa na imbalance yoyote katika kutembea au kufanya kazi za mwili na hata watu wa karibu yangu hawakujua hali yangu hadi nilipowajulisha, isipokuwa siku mbili za mwanzo nilipata "discomforts" lakini hali hiyo kamwe haikuathiri utendaji kazi wa viungo vyangu, ndiyo maana napinga kwasababu ni jambo lililonitokea mimi binafsi.
Anafuwata ilani ya chama cha madudu![]()
======
What Happened to Eliud Kipchoge in London?
By Cathal Dennehy
Eliud Kipchoge said he experienced an issue with his right ear during the London Marathon, which led to his subpar performance.
In cold and rainy conditions, the world-record holder finished eighth in 2:06:49, more than a minute behind winner Shura Kitata of Ethiopia. He began to lose contact with the leaders with about 5K left to run.
After the race, a visibly upset Kipchoge explained what occurred. “I started off well. But I just got a slight problem with my right ear. It got blocked, and I tried to do all necessary, I tried to hold back, but it was not possible. But this is sport. Today you are up, tomorrow you are down.
“I am truly disappointed. I always wanted to win to show people you can always win if you focus yourself and always get good results. I’m sorry about this, but that’s how sport is.”
“His right ear got fully blocked. From then he also didn’t go for the drinks anymore, and it somehow affected the whole system,” Valentijn Trouw, Kipchoge’s manager, said via text message.
While some feared it might spell the early signs of a demise for Kipchoge, the 35-year-old said he would return to the top level.
“Sport is unpredictable, but you know what they say: If you want to enjoy sport then you accept the results. So I accept the result and congratulate all finishers.”
Asked if he would be back running the marathon, he said, “I am going back and hopefully I will come next year here in London and the Olympic Games. It’s not the end of the world.”
Source: What Happened to Eliud Kipchoge in London?
Ukipata infection ya sikio linaweza kabisa kukuangusha mwereka bila kutarajia. Naongea kutokana na uzoefu.
Hakuna perfect person hii dunia, acha udwanzi. Na pia yeye mwenyewe kalalamika juu ya sikio wakati ule, sio wakenya wote kama unavyosema. Mwisho, kwenye mashindano kuna mshindi na mshindwa, sasa kama alishindwa, hiyo ilkuwa bad day in office, so sio lazima yeye(Kipchoge) ashinde kila siku, kwani hakuna wanariadha wengine duniani? Vipi fikra zako wewe? 😂 😂 😂Hivi Sasa amejiandaa vizuri sio Kama wakati ule, hongera zake. Ninyi wakenya ni watu wa ajabu Sana, hamtaki kukubali mapungufu yenu, mnadhani ninyi ni "Perfect people", hamkubali kwamba alishindwa kihalali kabisa, lazima mtoe visingozio, stupidity at the highest degree