Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Haya, nyamba Sasa.🤣🤣
PEDs the talk of Nairobi walker.🤣 kaa kimya sasa kabla sijamtoa paka mwingine nje ya begi kuhusu wanariadha wenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya, nyamba Sasa.🤣🤣
Wapi hao?Mbona hamjafungua kuhusu vilaza wenu?[emoji1787][emoji1787]
Ebu tuambie kuhusu wanariadha wenu.🤣🤣PEDs the talk of Nairobi walker.🤣 kaa kimya sasa kabla sijamtoa paka mwingine nje ya begi kuhusu wanariadha wenu.
Yani hata huwajui wanariadha wenu lakini wakenya unawawaza usiku na mchana?🤣🤣Wapi hao?
Ukiulizwa jibu,Yani hata huwajui wanariadha wenu lakini wakenya unawawaza usiku na mchana?[emoji1787][emoji1787]
Ebu tuambie kuhusu wanariadha wenu.🤣🤣
Nitajie mwana riadha mmoja mbongo.Ukiulizwa jibu,
Achana na bla bla.
Nataka jina moja tuu, sii nyingi.🤣🤣 Usiwe tu Yule jamaa jirani akinunua gari unasema ameiba wakati kwako hata baiskeli hakuna.🤣🤣Sisi hatuna wanariadha wanaotumia PEDs ndiyo maana huwezi kusikia wanariadha wa Tz wakivuma, wanariadha wenu are under influence of banned PEDs, sasa mnajivunia nini???, shame on you.🤣🤣
Nataka jina moja tuu, sii nyingi.🤣🤣 Usiwe tu Yule jamaa jirani akinunua gari unasema ameiba wakati kwako hata baiskeli hakuna.🤣🤣
Nawe mbona usiibe? Utabaki kwa umaskini ukiita wengine wezi? Wivu ni mbaya🤣🤣Kama kaiba na ushahidi upo kwanini tusiseme kaiba??!--- tukisema kaiba bila ushahidi hiyo ni unfair.
Mimi kuwa au kutokuwa na mwanariadha hakunifungi kusema ukweli, ukweli ni kitu kingine, mbaya zaidi mnataka kutuaminisha sisi uongo wenu, eti sikio kuziba kwa mfanya mtu ashindwe kukimbia??!!,🤣--- huyo hakutumia PEDs alizozoea kutumia kwa kuhofia asijeumbuka from the stringent rules of inspection for PEDs in the race.
Poleni sana Wakenya.
Hufuatilii riadha wewe... Eliud kipchoge mwenyewe kuhojiwa alisema ilimchukua miaka mitatu kurun under 2 hours maana mgogoro anakiri ulikuwa second 20 ...1 min kwa riadha unaweza kuwa mtihani mkubwa Sana hasa ukifika level ya maximum kukimbia...Ameanza kushinda back to back mara ngapi, gap ya dk 1 ni ndogo sana bado ataleta changamoto kwenye riadha.
Nawe mbona usiibe? Utabaki kwa umaskini ukiita wengine wezi? Wivu ni mbaya🤣🤣
Aliyekuambia mtu ni lazima awe mshindi kila siku ni nani? Ni mtanzania yupi amewahi shinda marathon? Ama ni matayarisho ndio hawajui vile Kipchoge hajui? This is sport ramapithecus, it's not some sort of comedy action. Today you are a winner, tomorrow you are a loserKwahiyo kama alishashinda huko nyuma lakini amezembea katika kujitayarisha hawezi kushindwa? Hakuna cha kisingizio, ameshindwa tena vibaya sana kwa aibu kubwa, arudi akajipange upya.
Now you are talking. Kipchoge na wakenya wanaojaribu kutoa kisingizio cha sikio walipaswa kujua huu ukweli badala ya kutoa visingizio vya ajabu, anajidhalilisha na wale wanaomuunga mkono wanaonekana wajinga mbele ya jamii. This is a sport, you either win or....Aliyekuambia mtu ni lazima awe mshindi kila siku ni nani? Ni mtanzania yupi amewahi shinda marathon? Ama ni matayarisho ndio hawajui vile Kipchoge hajui? This is sport ramapithecus, it's not some sort of comedy action. Today you are a winner, tomorrow you are a loser
Mbona hatuwaoni wanariadha wa Tanzania na N.Korea(nchi mbili duniani ambazo 'hazina' corona) kwenye Top 10, 20 au hata Top 100? [emoji1] Meanwhile kwa kina dada mkenya Brigid Kosgei, ambaye ndiye aliyeshinda mwaka wa 2019, aliibuka wa kwanza kwa mara ya nne kwenye London Marathon. Tena aliwaacha wanariadha wengine wote nyuma na mwanariadha wa pili alimaliza mbio dakika 4 baada ya Brigid. Mkiona [emoji1139][emoji1139][emoji1139] muwe mnashika adabu zenu tafadhali.![]()
Sasa ukishajua hivyo mbona inakusumbua akili? Mtu huwezi kuwa kileleni milele. It reaches a point makali yako yanaisha na walio nyuma yako wakakupita. Do you know that Wayne Rooney still plays football? But is he the same Wayne Rooney mwenye alikuwa Manchester United?Now you are talking. Kipchoge na wakenya wanaojaribu kutoa kisingizio cha sikio walipaswa kujua huu ukweli badala ya kutoa visingizio vya ajabu, anajidhalilisha na wale wanaomuunga mkono wanaonekana wajinga mbele ya jamii. This is a sport, you either win or....
sasa angalia nani ndo mkabilaIf you don't know without googling, that means no tribalism, let me mention some of big five in Kenya in descending order
1)Kikuyu
2)Luhya
3)Kalenjin
4)Jaluo
5)Kamba
6)Maasai
7)Kisii
8)Mijikenda
9)Somali
10)Kipsigis
11)Turkana
12)Samburu
13)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ana mahaba na kenya huyoVery stupid question to ask considering even if I didn't know, I'd simply Google.