Music industry ya kiswahili inawapeleka wapi??
Wasanii wenye followers wengi kwenye mitandao ya kijamii hapa East Africa ni kutoka Tanzania,
Wasanii wenye youtube subscribers wengi hapa East Africa ni kutoka Tanzania,
Wasanii wenye youtube views wengi hapa East Africa ni kutoka Tanzania,
Wasanii wenye international awards nyingi hapa East Africa ni kutoka Tanzania mfano MTV, BET, AFRIMMA, AFRIMA nk,
Wasanii maarufu zaidi Afrika na duniani kwa hapa East Africa ni kutoka Tanzania,
Wasanii wanaoimba nyimbo zenye content safi na zinazoeleweka vizuri hapa East Africa ni kutoka Tanzania,
Wasanii wanaofanya matamasha makubwa mbalimbali Africa na kwinginepo kwa hapa East Africa ni kutoka Tanzania,
Msanii aliyefanikiwa kufikisha views billion moja kwa hapa East Africa ni kutoka Tanzania,
Msanii mwenye views zaidi ya milioni mia kwenye video moja kwa hapa East Africa ni kutoka Tanzania,
Msanii mwenye youtube subscribers zaidi ya million nne kwa hapa East Africa ni kutoka Tanzania,
Niendelee ama nisiendelee!
Naam hapo ndipo music industry ya kiswahili imetupeleka.