What happened to bagamoyo?Huu mradi umefikia wapi? Nakumbuka humu tuliaminishwa na Wakenya kuwa Mradi huu ulitegemewa kupunguza, kama sio kumaliza tatizo la Njaa nchini Kenya,
What happened guys.
Bagamoyo sio silver bullet hapa Tanzania. Ila Galana mlituaminisha wa njaa Kenya. Lakini upungufu wa chakula bado upo na hakuna dalali unaishi hivi karibuni. Acheni akili za samaki kukumbuka sekunde tatu.What happened to Bagamoyo Port????
What Happened to Bagamoyo Port?What happened to Galana Project?
Construction of US $10bn Bagamoyo port in good progressWhat Happened to Bagamoyo Port?
Ngoja sasa wakusomee bajeti waliyotumia, dah hawa ukiambiwa 8/10 Kenyans are potential thieves usishangae.Nilisoma mahali, mradi umetakatisha fedha balaa, na mazao ni kiduuchu. Watu wamepiga hela wakapeleka kidogo kwenye mradi, ndio matokeo.
Yaani kifupi ni white elephant. Labda serikali wa inject another plenty hela.