What happened to Galana Project?

What happened to Galana Project?

game over

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Posts
10,727
Reaction score
24,840
Huu mradi umefikia wapi? Nakumbuka humu tuliaminishwa na Wakenya kuwa Mradi huu ulitegemewa kupunguza, kama sio kumaliza tatizo la Njaa nchini Kenya,

What happened guys.
 
William Ruto na Wamalwa wamehamishia pesa mifukoni. Mradi umekamilika tusubiri tume ya bunge kuchunguza
 
Huu mradi umefikia wapi? Nakumbuka humu tuliaminishwa na Wakenya kuwa Mradi huu ulitegemewa kupunguza, kama sio kumaliza tatizo la Njaa nchini Kenya,

What happened guys.
What happened to bagamoyo?
 
Na ule mchakato wa kujenga vyoo elfu moja kutoka mwanza hadi dar pia tujuzwe vipi[emoji3] [emoji16]
 
What happened to Bagamoyo Port????
Bagamoyo sio silver bullet hapa Tanzania. Ila Galana mlituaminisha wa njaa Kenya. Lakini upungufu wa chakula bado upo na hakuna dalali unaishi hivi karibuni. Acheni akili za samaki kukumbuka sekunde tatu.
 
Nilisoma mahali, mradi umetakatisha fedha balaa, na mazao ni kiduuchu. Watu wamepiga hela wakapeleka kidogo kwenye mradi, ndio matokeo.
Yaani kifupi ni white elephant. Labda serikali wa inject another plenty hela.
 
Ngoja sasa wakusomee bajeti waliyotumia, dah hawa ukiambiwa 8/10 Kenyans are potential thieves usishangae.
 
Kwa majibu tu unamaanisha huo mradi haupo tena
 
Back
Top Bottom