What happened to kenyan music jamani?

Siri ya mgambo ikilia ina jambo
Nami nina nilia kwa sababu ni jambo .....
Sista vipi mambo ? Aah poa
Nina kumind kishenzi
Wacha mchezo.............

Nikicheki ukidodondosa
Roho yangu inauma uma
Hiyo track .........
Longombas
Nikichek ukisonga songaa
 
Siri ya mgambo ikilia ina jambo
Nami nina nilia kwa sababu ni jambo .....
Sista vipi mambo ? Aah poa
Nina kumind kishenzi
Wacha mchezo.............

Nikicheki ukidodondosa
Roho yangu inauma uma
Hiyo track .........
Longombas
Hiyo track ikisonga songa roho yangu inaumaa aah hiyo track ikisonga songa[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
Mbona unaniroga roho
 
I love the way she ........

Me love the way she wind
From 9 to 9 .........

You can see i dont wana ,i dont wana be alone

Tetetetemeshaaaaaa

Redsun
 
Siri ya mgambo ikilia ina jambo
Nami nina nilia kwa sababu ni jambo .....
Sista vipi mambo ? Aah poa
Nina kumind kishenzi
Wacha mchezo.............

Nikicheki ukidodondosa
Roho yangu inauma uma
Hiyo track .........
Longombas
Dah! mwanangu umenikumbusha longomabaz aisee iv hawa jamaa waliendaga wapi?
 
I love the way she ........

Me love the way she wind
From 9 to 9 .........

You can see i dont wana ,i dont wana be alone

Tetetetemeshaaaaaa

Redsun
Hii je? Unakumbuka ni ngoma gani??

Nilikutana nae akipanda 23 karibu nami kaketi
Sikungoja sikuwait nikajidai excuse me una fegi?
Mi naitwa...... ( naficha jina)
We unaitwa nani na unatokea pande gani
Kama unapenda raggae nina collection nyumbani
If you don't mind tuka round mitaani
 
Kenyan girl ,Kenyan boy

Napenda sana ile verse Naziz anatoa dedication kwa watu tofauti ,
Konda wa ma3 ........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…