What happened to kenyan music jamani?

What happened to kenyan music jamani?

Nahis the way wanaongea.... Ni hard kufitisha kwenye beat.. Ingawa me si mtaalam wa muzik lakin huwa naonaga wapo baadhi walikuwa hawaend na beat.... I don't know if am right
Kunata ni ujuzi tu, lakini labda ila sidhani kama ni sababu,
Banjuka tu[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] Wapi Jua kali
 
Mkuu kwani unahisi culture yao imeweza vipi kuathiri lyrics zao?
inshu ipo katika ku-promote kazi zao,kwa sababu wasanii wanazunguka na kazi katika daladala,bajaji na boda boda,wanafanya hivo kwa sababu ni kazi kwa media kupromte kaz zao,inshu kubwa ni mirahaba,yaani radio ikufanyie promotion then ikulipe,hata clubs ivo ivo,so nazani ndio inshu kubwa inayo waghalimu,bongo walianza hiyo inshu kwa wiki moja tu,radio ziliacha kabisa kupiga nyimbo mpaka wasanii walipo omba inshu ya mirahaba isitishwe
 
I real miss him, Kenya wanajua sana hizi mambo.....
Machali leo hamna namna[emoji445] [emoji445] [emoji445]

Nina ka mwaka sijaigongesha
Mchezo bado sijaupoteza ni vile nimekua nikikusoma sasa na fantansize vile naweza kuona Smell ya perfume yako ni poa
Tena dress code yako ni ya power
Ina show feature zote upo nazo
No wonder kila mtu anataka apite nazo ...........

Umejibeba hata usipunguze
Nikiiweka hata usiulize
Nikigeuza hata usitetete
Na nikimaliza hata usinilenge

Wewe ni definition poa ya mwanamke
Mjanja size yake na bado ana makeke
Nikakukosa inaweza kuwa blunder sababu nahofia naweza rudia kuhanda ..................

Nani huyo kama unakumbuka??
 
Sijui kimewatokea nini hawa jamaa zetu ,industry yao imepooza kuna band moja hivi ni mpya H-ART na nyimbo zao kama uliza kiautu ,nikikutazama

Hawa jamaa wa Camp mulla sijui ni pepo gani liliwapitia
Nimesikiliza zote mbili, jamaa wanajua, kumbe wanafanya raggae, ila huu uliza kiatu ndo nimeuelewa zaidi, mtamu sanaa
 
Nina ka mwaka sijaigongesha
Mchezo bado sijaupoteza ni vile nimekua nikikusoma sasa na fantansize vile naweza kuona Smell ya perfume yako ni poa
Tena dress code yako ni ya power
Ina show feature zote upo nazo
No wonder kila mtu anataka apite nazo ...........

Umejibeba hata usipunguze
Nikiiweka hata usiulize
Nikigeuza hata usitetete
Na nikimaliza hata usinilenge

Wewe ni definition poa ya mwanamke
Mjanja size yake na bado ana makeke
Nikakukosa inaweza kuwa blunder sababu nahofia naweza rudia kuhanda ..................

Nani huyo kama unakumbuka??
Nmejikuta nasoma tuu mistar......
 
inshu ipo katika ku-promote kazi zao,kwa sababu wasanii wanazunguka na kazi katika daladala,bajaji na boda boda,wanafanya hivo kwa sababu ni kazi kwa media kupromte kaz zao,inshu kubwa ni mirahaba,yaani radio ikufanyie promotion then ikulipe,hata clubs ivo ivo,so nazani ndio inshu kubwa inayo waghalimu,bongo walianza hiyo inshu kwa wiki moja tu,radio ziliacha kabisa kupiga nyimbo mpaka wasanii walipo omba inshu ya mirahaba isitishwe
Hili nalo ni tatizo kubwa....... Sa nini kifanyike?
 
Nina ka mwaka sijaigongesha
Mchezo bado sijaupoteza ni vile nimekua nikikusoma sasa na fantansize vile naweza kuona Smell ya perfume yako ni poa
Tena dress code yako ni ya power
Ina show feature zote upo nazo
No wonder kila mtu anataka apite nazo ...........

Umejibeba hata usipunguze
Nikiiweka hata usiulize
Nikigeuza hata usitetete
Na nikimaliza hata usinilenge

Wewe ni definition poa ya mwanamke
Mjanja size yake na bado ana makeke
Nikakukosa inaweza kuwa blunder sababu nahofia naweza rudia kuhanda ..................

Nani huyo kama unakumbuka??
Nonini
 
Kuna mtu mmoja huko kenya anaitwa plo lumumba, is an orator, huyu jamaa hana bud kuwakumbusha wakenya wawatie moyo wasanii... Napenda sana Speech zake.
 
Back
Top Bottom