Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Sio kweliiiii.....kama wewe ni manzi wa nairrrobi amka na anza kukatika....... Piga ndulu! piga ndulu! .....manzi katikakakakakakakakakatikakakakakakakaaaahhhh.......!
Pia nyimbo za kenya ziko shallow sana ndo maana hazivuki border, mistari dhaifu!
Mistari yao mitamu mpaka unajifeel na wewe ni manzi wa Nairobi, yani mpaka wimbo ukiisha ndo unakumbuka kuwa wewe sio mkenya [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hasa kama upo maji, upo keroro