What happened to kenyan music jamani?

What happened to kenyan music jamani?

.....kama wewe ni manzi wa nairrrobi amka na anza kukatika....... Piga ndulu! piga ndulu! .....manzi katikakakakakakakakakatikakakakakakakaaaahhhh.......!
Pia nyimbo za kenya ziko shallow sana ndo maana hazivuki border, mistari dhaifu!
Sio kweliiiii
Mistari yao mitamu mpaka unajifeel na wewe ni manzi wa Nairobi, yani mpaka wimbo ukiisha ndo unakumbuka kuwa wewe sio mkenya [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hasa kama upo maji, upo keroro
 
[emoji443] [emoji442] [emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji443]
Sio lazima to do
Tunaeza enda home na kuchili tu
[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]

Yeahh enzi hizo nonini

"si lazima tu doo tunaeza enda ghetto na tukachill tu"

Jimena
Sio lazima kwakweli.... Tunaeza enda home na kuchili[emoji4] [emoji4]
 
Sio lazima kwakweli.... Tunaeza enda home na kuchili[emoji4] [emoji4]

Hahahah...

Nlikua naielewa sana hii kumbe umeshaishare okay mkali mwingine alikua wyre sijui kapotelea wapi
 
Sijui kimewatokea nini hawa jamaa zetu ,industry yao imepooza kuna band moja hivi ni mpya H-ART na nyimbo zao kama uliza kiautu ,nikikutazama

Hawa jamaa wa Camp mulla sijui ni pepo gani liliwapitia
 
Tuendelee ama tusiendelee[emoji445] [emoji442] [emoji443] [emoji443] [emoji443]
Kuna mc's wengine wametutusi
Wanasema rhyme zetu ni za upuuzi
Heri sisi kuliko wao wamejawa na virus
Kumangana kila mahala kama mambuzi
[emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444]

Dah!
Nami nimekumbuka mbali sana, skonga enzi hizo.
Waliachiaga mpini mmoja, TUENDELEE AMA TUSIENDELEE....!
Hawa jamaa ni shiiiiiiida
 
Hahahah...

Nlikua naielewa sana hii kumbe umeshaishare okay mkali mwingine alikua wyre sijui kapotelea wapi
Wyre nadhani bado yupo na Nazizi wake, mi nilikuwa napenda ile binadamu sio watu alimshirikisha sijui jamaa gani hata simkumbuki
 
Sijui kimewatokea nini hawa jamaa zetu ,industry yao imepooza kuna band moja hivi ni mpya H-ART na nyimbo zao kama uliza kiautu ,nikikutazama

Hawa jamaa wa Camp mulla sijui ni pepo gani liliwapitia
Hao sijapata kusikia nyimbo zao, ila tu naamini zitakuwa kali
 
.....kama wewe ni manzi wa nairrrobi amka na anza kukatika....... Piga ndulu! piga ndulu! .....manzi katikakakakakakakakakatikakakakakakakaaaahhhh.......!

Pia nyimbo za kenya ziko shallow sana ndo maana hazivuki border, mistari dhaifu! Alafu kitu kingine, media na wakenya kwa ujumla wakipata artist mmoja, wote wanajikita kwake na kusahau wengine.
Pia nahis beat inameza sauti.... Inawezekana culture yao imechangia kuwa na mistar dhaifu?
 
Sijui kimewatokea nini hawa jamaa zetu ,industry yao imepooza kuna band moja hivi ni mpya H-ART na nyimbo zao kama uliza kiautu ,nikikutazama

Hawa jamaa wa Camp mulla sijui ni pepo gani liliwapitia
Hivi wale calfonaeee wako wap?
 
Una jump... Una shuka... Una shida shida.... Zinakushuka.... Unajipaka mafuta unakipara. . Unapararaaa...... Unanijuaeeeeee ..... Daah I will be constantly vigilant for these songs za kikenya ..
 
Mazee ushaona manzi amesimama kama range 4.6..........nikikaaa nyuma yake waweza dhani mi mkia....
Eti nonini leo yupo na gari ,Gar gani ?? Kwenda panda matatu ......
I real miss him, Kenya wanajua sana hizi mambo.....
Machali leo hamna namna[emoji445] [emoji445] [emoji445]
 
Back
Top Bottom