What happened to kenyan music jamani?

Kalgraph, octop, kolo,jua kali na kaka sugungura nawaelewa sana hawa jamaa..sio siri wametuangusha.
 
Wakati wao umepita
 
Kuna sheng y calif.....lakini sote tunaelewana! Jua kali!!!!
 
Sio lazima kwakweli.... Tunaeza enda home na kuchili[emoji4] [emoji4]
Mbona mmeisahau Ile......... ddKuna. waatu wengine wana tabia mbaya mbaya Sana.....watu wengine wana tabia mbaya kujisaidia barabarani....hiyo Ni tabia mbaya........
 
Mbona mmeisahau Ile......... ddKuna. waatu wengine wana tabia mbaya mbaya Sana.....watu wengine wana tabia mbaya kujisaidia barabarani....hiyo Ni tabia mbaya........
Asante sana mkuu Powder ni kweli hiyo ilisahaulika ila nayo ilibamba sana
 
huo wimbo wa sina noma nae na wale TATUU sijui , ule wimbo wao masaa ulikuwa poa sana sijui wameacha mziki?
 
Ba ba ba banjuka tuuuu ,naweka shida zangu chini mikono juu na ba ba banjuka tuuuu, aisee nimeimis ile midundo ya kikenya na zile nyimbo kutoka calif records
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…