real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
2007We lin ulimaliza pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2007We lin ulimaliza pale
Sana sana kwakweliHii ni moja ya verse kali sana kwenye music wa Kenya
Haitakuja kumtokea kama waoSanteeeeeee.... Namna anaimbaga imenikumbusha nikiwa nasoma rombo miaka ya 2005....
KumbeWapo mogadishu kupgana name alshabab wait soon they will come
Tingisha hilo wezere wezere wezereSanaaa..
Wakati wao umepitaBack in the days hapa Tanzania, Nameless,Wahu,nNecessry noise,Prezzo ilkuwa shida,walibang na wengineo,
Siku hizi ukiongelea Kenyan music hapa Tanzania ni Sauti sol( damn i love these guys,kiukweli wako really ki music, huyu Diamond wetu ni overrated kabisa)na wale wadada wawili wanaitwa Elani kama sikose nini kimetokea jamani.
Kina Nyashiski wako wapi?tuendelee ma tusiendeleee?
Kaka sungura ndo my favorite kwa sasa..Kalgraph, octop, kolo,jua kali na kaka sugungura nawaelewa sana hawa jamaa..sio siri wametuangusha.
Kuna sheng y calif.....lakini sote tunaelewana! Jua kali!!!!Back in the days hapa Tanzania, Nameless,Wahu,nNecessry noise,Prezzo ilkuwa shida,walibang na wengineo,
Siku hizi ukiongelea Kenyan music hapa Tanzania ni Sauti sol( damn i love these guys,kiukweli wako really ki music, huyu Diamond wetu ni overrated kabisa)na wale wadada wawili wanaitwa Elani kama sikose nini kimetokea jamani.
Kina Nyashiski wako wapi?tuendelee ma tusiendeleee?
Mbona mmeisahau Ile......... ddKuna. waatu wengine wana tabia mbaya mbaya Sana.....watu wengine wana tabia mbaya kujisaidia barabarani....hiyo Ni tabia mbaya........Sio lazima kwakweli.... Tunaeza enda home na kuchili[emoji4] [emoji4]
Namkubari Sana huyo jamaa, Ana flow za hatariChini ya maji...... Huyu jamaa nae ni shida
Kama sikosei alikua kwendi kundi flani then akaanza kuimba soloMhh mbona simkumbuki?
He is ovarratedDiamond yuko juu sio kua anakua overrated tu" Ni kazi zake
Ntalicheki YouTube mkuukuna jiwe jipya la nazizi wedding ring
Usimpe roho yako waza kwanza
Wapi tofauti yake nao
Sina noma nae ....
Baby una smile fresh sijui nikuite Mariah vile ume carry
Ring kwenye ....na smile ya hale bery ..........
Nyashski ...Kile roho yangu imeshachagua ishachagua
Na hiyo ni kitu nipo sure hata yeye mwenyewe anaju ...