What happened to kenyan music jamani?

huo wimbo wa sina noma nae na wale TATUU sijui , ule wimbo wao masaa ulikuwa poa sana sijui wameacha mziki?
Nadhani watakua hawapo kwenye game kama tu kwa Tz kina Solid ground family wazee wa bush party
 


hivi hawa Willy Paul na Bahati ni wanamziki wa nyimbo za injili au? tatizo lingine la Kenya wanachanganya nyimbo za dini zinapigwa club au redioni pamoja na za kina sauti Sol wakati ni tofauti.
Will paul na bahati wawekwe kundi moja na kina rose muhando
 

Jamaa zetu wamechanganyikiwa kwa kufukuzia pesa kote kote na kukosa uelekeo.
 
Hakuna anayekumbuka vijana wa UKOO FLANI MAU MAU,1.Kalamashaka,ilikuwa na kama,roba,vigetti aliyekuwa jela ametoka sasa ana wimbo mpya Mama,kali sana2.Wenyeji ilikuwa na zaka,swaleh,ule wimbo wao wa dandora L.O.V.E wakiwa na kah ulikuwa on point.afu3.Wakamba wawili,Labalaa na mwenzake,sijui walienda wapi,afu kando na vikundi bado ukoo flani maumau kulikuwa na Girongi wimbo wake fyatua! ulipigwa marufuku na serikali,pia Juliani,yeye pekee ndo aliyefanikiwa,Fujo makelele,Sharama duh!Upendo Kote Ole wenu Ombeni Funzo La Aliyetuumba Njia na Iwepo(maana ya ukoo flani) na maumau walikuwa wenye kipaji,sijui kuliendaje?
 
Hata ibra da hasla alifanya ngoma kadhaa na hawa jamaa
 
-habida feat caniba-my reason nayo ni ngoma kali sama
-prezoo feat canibal-my city my town nayo kali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…