Hakuna anayekumbuka vijana wa UKOO FLANI MAU MAU,1.Kalamashaka,ilikuwa na kama,roba,vigetti aliyekuwa jela ametoka sasa ana wimbo mpya Mama,kali sana2.Wenyeji ilikuwa na zaka,swaleh,ule wimbo wao wa dandora L.O.V.E wakiwa na kah ulikuwa on point.afu3.Wakamba wawili,Labalaa na mwenzake,sijui walienda wapi,afu kando na vikundi bado ukoo flani maumau kulikuwa na Girongi wimbo wake fyatua! ulipigwa marufuku na serikali,pia Juliani,yeye pekee ndo aliyefanikiwa,Fujo makelele,Sharama duh!Upendo Kote Ole wenu Ombeni Funzo La Aliyetuumba Njia na Iwepo(maana ya ukoo flani) na maumau walikuwa wenye kipaji,sijui kuliendaje?