What has Kenya done so wrong? Nigeria has just received her 16 coaches of EMU

What has Kenya done so wrong? Nigeria has just received her 16 coaches of EMU

Nilijua tu utaniletea huu upuzi wa project ambayo iko 30% complete. Juzi nimeona Youtube kuwa hio kampuni ya Misri inasema project yenyewe bado iko beginning stages. Sasa Sgr yenu ambayo iko 70% complete itangoja miaka miwili au mitatu hadi Nyerere project ikamilike? Saa zingine Watanzania tumieni akili. Kama hamna umeme kujeni muombe kwa heshima tutawapa. Sisi hatuna roho chafu kama yenu. Tunaweza jenga power line in one year Kutoka Kenya border hadi TZ. Sisi tuna electricity surplus.
Ama mje muombe gongo la chang'aa mtumie hadi mradi wa Nyerere ukamilike.
tuna umeme in excess as we speak!

Fool, hiyo link ina miradi mingine aside JNHPP kama Rusumo hydropower over 80% done, Comparison btn construction of Kimwarer dam and hydropower project and Nyerere dam in Rufiji Hydropower project
 
N
Ndio lakini kila treni kwa kawaida inatumia 10 MW. Nyie mtakuwa na treni zaidi ya sita. Halafu umeme wenyewe lazima uwe constant. Sio mambo ya umeme kukatika katika wakati wa safari.
evidence kila treni inatumia huo umeme? Fool nenda kanyambe! Aisee nimekudharau nilifikiri una uelewa wa haya mambo?

Simon njoo uone hili jinga! limekula mtura leo!
 
evidence kila treni inatumia huo umeme? Fool nenda kanyambe! Aisee nimekudharau nilifikiri una uelewa wa haya mambo?

Simon njoo uone hili jinga! limekula mtura leo!

Nikikupa evidence kuwa kwa kawaida in the industry, treni hutumia 10 MW utaniomba msamaha kwa matusi uliyomwaga hapa?
Kaa kitako upate masomo. Fuata hii link. Link yenyewe ni treni inayotumia 10 MW

Nikikupa evidence kuwa kwa kawaida in the industry, treni hutumia 10 MW utaniomba msamaha kwa matusi uliyomwaga hapa?
Kaa kitako upate masomo. Fuata hii link. Link yenyewe ni treni inayotumia 10 MW

For our SGR design we don't need 10 MW for a train! We have electrical engineer in here can explain to u! to cut short there is 200MW set aside for the project evn before JNHPP is plugged on!

Simon hebu saidi hili jinga!
 
Nyinyi hata hamna umeme wa kuendesha hayo matreni ya Dar- Moro Sjiara
Swali ni kwa nini katika karne hii bado kuna nchi inajenga reli ya kizamani yenye kutumia Diesel, tena kwa gharama kubwa kuliko reli ya kisasa ya umeme?
 
Waafrika tuungane tusichekane, tuwe kitu kimoja, African Blood sijui kizazi hiki cha leo kama kingeweza kusaidiana kupigania uhuru wa wenzao wanaotawaliwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
Wakenya sio watu wazuri tangu zamani, kumbuka waliwasaliti waafrika wenzao wakati wa vita vya ukombozi na kuamua kuwasaidia wazungu ili waendelee kuwachinja watu weusi, hawana maana kabisa hawa nyang'au, kaa mbali sana na hawa watu
 
For our SGR design we don't need 10 MW for a train! We have electrical engineer in here can explain to u! to cut short there is 200MW set aside for the project evn before JNHPP is plugged on!

Simon hebu saidi hili jinga!
Kwani huyo Simon ndio anadesign train zenu? Atajuaje power rating ya train yenu? Simon hajui lolote. Umeanza matusi kwa sababu nimekupa evidence.
 
Kwani huyo Simon ndio anadesign train zenu? Atajuaje power rating ya train yenu? Simon hajui lolote. Umeanza matusi kwa sababu nimekupa evidence.
Treni ni kama gari zinavyotofautiana matumizi ya mafuta! Unless wewe ni mjinga kupita kiasi kuamini ati Treni moja inahitaji 10MW una bahati sina muda! Ningekuchambulia ukweli!
 
Back
Top Bottom