Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #21
tuna umeme in excess as we speak!Nilijua tu utaniletea huu upuzi wa project ambayo iko 30% complete. Juzi nimeona Youtube kuwa hio kampuni ya Misri inasema project yenyewe bado iko beginning stages. Sasa Sgr yenu ambayo iko 70% complete itangoja miaka miwili au mitatu hadi Nyerere project ikamilike? Saa zingine Watanzania tumieni akili. Kama hamna umeme kujeni muombe kwa heshima tutawapa. Sisi hatuna roho chafu kama yenu. Tunaweza jenga power line in one year Kutoka Kenya border hadi TZ. Sisi tuna electricity surplus.
Ama mje muombe gongo la chang'aa mtumie hadi mradi wa Nyerere ukamilike.
Fool, hiyo link ina miradi mingine aside JNHPP kama Rusumo hydropower over 80% done, Comparison btn construction of Kimwarer dam and hydropower project and Nyerere dam in Rufiji Hydropower project