tatizo lenu vijana ni kwamba mnaingia kwenye mitandao ya jamii and u expect to find only like minded people...huo ni ujinga...wapo watu wenye mitazamo tofauti
Kumbe tuko wengi..!! Mi ngoja nikatafute mkalimani.
Wala usijali ndugu yangu, Tanzania inakosa ''kujitambua'' kwa vile hatujui lugha ipi tunaijua vizuri, mimi nikiamua kiswahili-twende kazi, mwingine kingereza-haya.....najua inatuumiza ila ni misingi tuliyowekewa na wenye nchi. HATA HATUJUI LUGHA GANI TUNAIJUA VIZURI.. hahaaaaaa. we changi a unavyoelewa, hamna atakayekucheka, wote tunajifunza
the problem is that you want a decent woman just 'online'! that's not easy my friend! since you were at the age of starting knowing women up to now you were supposed to have ear-marked a woman who would become your wife! another thing is that, women now are digital that's why some of them send you a msg 'miss you'! but you are still analogical to cope with digital women!
Usiwe na hofu dada/kaka yangu, kadri Mungu atakavyoniwezesha
You are not decent, why do you want a decent lady?
And the first thread was a research? You want the real thing no?
Get serious basi. Watu hawapo hapa kupoteza muda!