ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
- Thread starter
- #21
tatizo lenu vijana ni kwamba mnaingia kwenye mitandao ya jamii and u expect to find only like minded people...huo ni ujinga...wapo watu wenye mitazamo tofauti
Nakataa hoja yako,
Tunaingia mitandaoni kutafuta maarifa, kufahamiana ''ki-digitali''... na wala sio ujinga nikikupa changamoto, hii inasaidia kupanua mawazo yako....na mimi naipenda hiyo mitazamo tofauti. ukitumia neno UJINGA, umenidharau, wewe tumia lugha nzuri tu na utaeleweka