mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
Kuna hali fulani hivi inaendelea ndani ya chama dola ambapo sitaweza kuizungumzia au kuandika hapa kwa kuwa nimezipata kama fununu tu mahali fulani kwa hivyo sina uhakika nazo sana.
Ila nikasema hebu niwashirikishe wadau humu .kwa mfano sasa deep state au mhimili uliojichimbia zaidi usioonekana wakaamua basi sasa tulete katiba mpya.
Je, hawa frontliners (ccm Hii tunayoijua ) wataendelea kupinga mchakato mzima wa katiba mpya isifanyike?
Mshana Jr nadhani kama mwonaji utakuwa na lolote la kusema[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
MÊmENtO HoMO