Kwa kuwa wanashikilia💰sio?Itategemea Kingai na mahita wanaonaje.
Itakuwa bam bamModerators naomba msiufute huu uzi.
Kuna hali fulani hivi inaendelea ndani ya chama dola ambapo sitaweza kuizungumzia au kuandika hapa kwa kuwa nimezipata kama fununu tu mahali fulani kwa hivyo sina uhakika nazo sana .
Ila nikasema hebu niwashirikishe wadau humu .kwa mfano sasa deep state au mhimili uliojichimbia zaidi usioonekana wakaamua basi sasa tulete katiba mpya. Je hawa frontliners (ccm Hii tunayoijua ) wataendelea kupinga mchakato mzima wa katiba mpya isifanyike?
Mshana Jr nadhani kama mwonaji utakuwa na lolote la kusema[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
MÊmENtO HoMO
Yupo unayemtafuta,au umejitoa kuwa upande wa wanyonge,wanyongwa?Mimi kama deep state member, nasema tuweni nasubira kidogo, tunawaletea katiba nzuri sana, itakayodumu hata miaka 100
Hao wakiamua wapingaji wote wanaweza ingia kwenye cleaning procedure.Kichaka chote kinafyekwaModerators naomba msiufute huu uzi.
Kuna hali fulani hivi inaendelea ndani ya chama dola ambapo sitaweza kuizungumzia au kuandika hapa kwa kuwa nimezipata kama fununu tu mahali fulani kwa hivyo sina uhakika nazo sana .
Ila nikasema hebu niwashirikishe wadau humu .kwa mfano sasa deep state au mhimili uliojichimbia zaidi usioonekana wakaamua basi sasa tulete katiba mpya. Je hawa frontliners (ccm Hii tunayoijua ) wataendelea kupinga mchakato mzima wa katiba mpya isifanyike?
Mshana Jr nadhani kama mwonaji utakuwa na lolote la kusema[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
MÊmENtO HoMO
Acha uzushi, CCM iko safi kabisa.Moderators naomba msiufute huu uzi.