deep state- the inner& invisible government that controlling the seen government,, kuna ccm hii tunayoijuwa ambayo kuna wanachama wakina majaliwa, wakina polepole, wakina mtoa post na wengineo, na kuna ile ccm ya wenyewe naweza sema hii pengine ndyo ile iliyohasisiwa na wakuu wa hapo mwanzo kuwa waiongoze Tz milele na kuhakikisha nch haikwend mikonon mwa upinzani ama kwa kiongoz wa ccm mwenye malengo tofaut na sera zao.
na hawa inner government ndyo hushirikiana na falme kubwa za dunia kwa kumpachika kiongoz anaekwenda sambamba na matamko ya dunia ama sera za baba wa dunia( USA, mataifa ya magharibi).
watu wa inner government ndyo hutoa tamko la mwisho kama iwe au isiwe(nenda kinyume kitakachokukuta ni R.I.P), hawa ndyo huandaa mikakati fulan ya kuendesha nchi, then mikakati hiyo inakuja kuwa introduced laws into the seen government kupitia washirika wao waliopo ktk hii seen government ya tunaowajua.
unseen government/inner rulers huwa hawatambuliki mamlaka yao ktk taifa, madaraka yao, wazfa wao, ama vyeo vyao, unaweza kukuta kuna kambunge kanakodharauliwa ktk nafas ya wabunge wa kuteuliwa lkn behind the scene ni mafia anae washika masikio mpka wakina prime minister (joke[emoji23]) .
hil jambo lko ktk kila nchi, haya mambo hayakosekan, ni vile tu ktk nchi za kiafrika hii unseen government inajihusisha ama inadili zaidi na maslahi ya wanasiasa wenye malengo ya kunufaisha familia zao, koo zao na si taifa kama wafanyavyo wenzet huko, china, USA, Russia ambavyo wanafanya kumuweka kiongoz ambaye anakwenda sambamba na sera za taifa kulfnya lizid kuwa babe na lenye nguv.
jiulize nchi kama USA, Russia zmewezaje kuwa superior kwa muda mrefu kama marais wenye misimamo walkuwa wanakufa? jibu unapata kuwa kuna organization za chini nje ya jumuia zjulkanazo, ambazo huakikisha taifa haliyumbishwi kwa namna yoyote, that's why vikund vingi vya ujasus hufanya kazi za siri kwa malengo ambayo hata polisi au walinz wa taifa hawajui na hata hao majasusi nao hupelelezwa, yaan ndan ya kund la upelelezi, nalo hupelelezwa mfano CIA kuna kuwa na kundi lingine ndani ya kundi ili kutunza data na kuimarisha ulinz.
haya mambo ni tofaut na uku kwetu ambapo secret societies(inner government) zinafanya kazi kwa maslahi yao(wanasiasa na maslahi ya mataifa ya nje)
kamwe hawa wa uku kwetu hutowai ona wakiitaka katiba maana ndyo inakilinda hata kiti chao kivuli cha rais kivuli.
dunia ina mambo ya ajabu sana, kama watu tungeoewa macho tuone, nasema kuna wengine humu mngetamani kufa, maana yale muyajuayo kuwa yaoo right 100% behind ni 0%