THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Si mnagoma kuja mezani na nyie ndio tunawataka zaidi kuliko hao zambaru ila mnaweka ngumu tulia tuwapige kesi za uhain hadi mjibu barua ya kuja mezani.
Akili inaniambia hivo tu kua hakuna kingine zaidi ya hicho..mtawala kaona kubembeleza ni kujidhalilisha kaona masheikh maneno yao hayasikilizwi,, propaganda za walio kwenye payroll nazo hazilipi njia pekee wanaona ni hio.