What if Jf members tupewe mkoa mmoja, je status ya maendeleo itakuwaje?

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
What if kama inatokea member wa Jamii Forums tunatengewa mkoa mmoja wa Tanzania Kwa mfano, wautenge mkoa mmoja labda Ruvuma then watuhamishie huko ambako tutaishi members wa jf pekee.

Inavyoaminika ni kwamba jf ni moja ya platform ya magreat thinkers na watu wenye ujuzi wa kila aina kuanzia wanasiasa, madaktari, mainjinia, wanasheria, walimu, wahasibu, wanauchumi, waganga wa kienyeji na kadhalika. Sasa basi Je kwa maono yako na ufahamu wako unadhani huo mkoa ungekuwa na status gani kwenye upande wa maendeleo?

Je kutakuwa na maendeleo ya haraka kwa maana inafahamika kwamba Jf members asilimia kubwa wanaume kwa wanawake ni watu wenye mawazo na maono yakitofauti au mkoa utakuwa na maendeleo ya kawaida kama mikoa mingine?

Maoni yenu tafadhali yanahitajika na ukitoa maoni ni vizuri pia kama utaweza kusema hata job ambazo ungeweza kuzipractice kwenye huo mkoa.
 
joka Jeusi atafadhaika sana, maana hakutakua na bikra..
Rikiboy & zero IQ watakua na crew yao mtaani katika mawindo deilee, na kijiwe cha zero ndo itakua genge la story za nani kala nani au kaliwa na nani.
The Boss atakua kila akipita kwenye makundi ya vijana anasikitika huku akisema interesting,
KidukuLilo atakua anachekelea tu jinsi range yake inavo chuchumaa na kuchana makilometa kwenye barabara mbovu za Ruvuma.
Ushimen utamkuta karibu na notce board ya halmashauri akiweka matangazo ya kazi deile,
rakims na mshana utawakuta mchana wako vilingeni kwao wamechill.
Mlevi mmoja atafungua ki bar chake na jion ya wkiend kma leo utakuta kina khantwe, joanah, depal , miss chaga, financial service n.k wakiwa wanadanga pale,

Tutaendelea.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitaomba kwenye huo mkoa awepo na Yule mod anaefutaga nyuzi pamoja na Yule anaetupigaga ban ili tumfundishe uvumilivu,staha na hekima na ukakamavu.
 
Kuna watu wa aina ya;

Bia yetu

johnthebaptist

Etwege

Lizaboni

YEHODAYA

Wakudadavuwa

jingalao
GUSSIE

Kweli kabisa tunaweza tukahamia huko na kuweka mipango mizuri ila Hao watu hapo juu mkiwa nao wanaweza kuharisha na kuharibu utaratibu wote!
 
Mmh! Tutakulana kimasihara tu huko.. [emoji23][emoji23][emoji38]

Mabikira watapewa kazi za uongozi mkoa, kata na wilaya. [emoji23][emoji23]
Bikra kama wakina nani mkuu?
 
😂😂😂
 
Tutaendelea kwa kweli
Tukikosa chakula tunakulana kimasihara hivyo hamna atakayekufa na njaa
 
Haha! Kuna watu wapo vizuri kwenye ku crack jokes na puns humu. Kwa bahati mbaya hii ni Tanzania, ingekuwa ulaya mngekuwa crew ya Daily show.
 
Fikra hii sio mbaya ila kama ungeileta tofauti
Kwa mfano watu 200 kila mmoja akatoa 2m na kuanzisha mradi mmoja wa mkubwa huku wengine wakinunua share kwa kiasi walichonacho nafikiri tungekuwa mfano kwa wengine
Hili wazo la maana sana, sijapataga tuu kikundi cha watu hawa ningejiunga fasta.
 
Hili wazo la maana sana, sijapataga tuu kikundi cha watu hawa ningejiunga fasta.

Linawezekana sana mkuu, kuna watu wamewekeza hivyo sana tu na muhimu zaidi ni uaminifu na kujituma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…