Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,571
What if kama inatokea member wa Jamii Forums tunatengewa mkoa mmoja wa Tanzania Kwa mfano, wautenge mkoa mmoja labda Ruvuma then watuhamishie huko ambako tutaishi members wa jf pekee.
Inavyoaminika ni kwamba jf ni moja ya platform ya magreat thinkers na watu wenye ujuzi wa kila aina kuanzia wanasiasa, madaktari, mainjinia, wanasheria, walimu, wahasibu, wanauchumi, waganga wa kienyeji na kadhalika. Sasa basi Je kwa maono yako na ufahamu wako unadhani huo mkoa ungekuwa na status gani kwenye upande wa maendeleo?
Je kutakuwa na maendeleo ya haraka kwa maana inafahamika kwamba Jf members asilimia kubwa wanaume kwa wanawake ni watu wenye mawazo na maono yakitofauti au mkoa utakuwa na maendeleo ya kawaida kama mikoa mingine?
Maoni yenu tafadhali yanahitajika na ukitoa maoni ni vizuri pia kama utaweza kusema hata job ambazo ungeweza kuzipractice kwenye huo mkoa.