Elections 2010 What if mgombea wa chadema igunga angekuwa muislam?

Mla Mbivu

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
224
Reaction score
48
Katika hali ya kustaajabisha, wagombea wa CUF, CCM na CHADEMA wote ni Wakristo, lakini tumeshuhudia waislam wakihamasishana wasichague CHADEMA, sasa ingetokea mgombea wa CHADEMA angekuwa mwislam mwenzao wangethubutu kutoa matamko?
Na ingekuwa mgombea wa CCM au CUF angekuwa Mwislam, jamaa si wangepanda mpaka majukwaani kuhamasishana?
 
Walivyosemaga siasa ni mchezo mchafu nadhani hawakukosea.
 
Katika hali ya kustaajabisha, wagombea wa CUF, CCM na CHADEMA wote ni Wakristo, lakini tumeshuhudia waislam wakihamasishana wasichague CHADEMA, sasa ingetokea mgombea wa CHADEMA angekuwa mwislam mwenzao wangethubutu kutoa matamko?
Na ingekuwa mgombea wa CCM au CUF angekuwa Mwislam, jamaa si wangepanda mpaka majukwaani kuhamasishana?
Sasa unataka tujadili nini wakati wagombea wote ni wakiristo! What if Dr Slaa angekuwa rais?
 
Angekuwa mroho wa rivasi angewatafuna wengi! maana mnamtaja kila nukta ya maisha yenu.
 
Tumeishawazoea Pro-CDM JF mmeishiwa hoja akili zimehama mnaanza matusi
Matusi ni yale anayoyafanya Mwigulu na wake za makada wenzake wa ccm guest house.
 
atakuja jamaa mmja hapa na personal attack hamtaamin macho yenu
anaitwa t
 
Duuu! Tamko hilo licngetoka jamani, bakwata walkurupuka kwan ile c hijabu wala dc cmuislam!
 
Back
Top Bottom