What If

What If

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
Sisi wanaume ndo tungekuwa tunapata mimba (ceteris peribus)?

Je wanawake wangeendelea kusubiri sisi tuwatongoze kwanza hata kama wamefall inlove na wangependa kuzaa na sis?

Sisi wanaume na tabia zetu za kutoka nje zingeendelea kama ilivyo sasa?
 
sa hao watoto tungewazalia wapi,mdomoni,puani,masikioni,m******i au ingebidi tuwe na k? na tungepewa k ina maana uanaume haupo tena. waache watuzalie tu,si kupiga nje km kawa maanhaikwepeki.................
 
Title ya thread yako imenikumbusha wimbo wa Joe
'What if your woman.....'
 
sa hao watoto tungewazalia wapi,mdomoni,puani,masikioni,m******i au ingebidi tuwe na k? na tungepewa k ina maana uanaume haupo tena. waache watuzalie tu,si kupiga nje km kawa maanhaikwepeki.................

Kama muumba angeamua ivo hata kwa mdomoni ingewezekana. kwani kuku hana k?
 
Kama mngepata mimba si mngezaa kama sisi? what is a big deal?

Ila na hizo mimba na hiyo tabia yenu ya kuchovya chovya sikui ingekuwaje!!
 
Na je idadi ya watu duniani inekua ivi,,,Ivi wanaume wangependa kulea mimba miezi 9 kweli?
 
Mbona sasa hivi hatubebi/ hatupati mimba lkn bado wanatutongoza........

Sisi wanaume ndo tungekuwa tunapata mimba (ceteris peribus)?

Je wanawake wangeendelea kusubiri sisi tuwatongoze kwanza hata kama wamefall inlove na wangependa kuzaa na sis?

Sisi wanaume na tabia zetu za kutoka nje zingeendelea kama ilivyo sasa?
 
Duuuuuhhh
kweli ni w/end
ingekuwa raha kupokezana
lakini ikija saa ya kujifungua mmmhhh nadhani kisu kitatembea kwenu dahhh
 
duuuuuhhh
kweli ni w/end
ingekuwa raha kupokezana
lakini ikija saa ya kujifungua mmmhhh nadhani kisu kitatembea kwenu dahhh

oook!
Then.. River nile would pour its water into the indian ocean or mt. Kilimanjaro turn into mt.ruwenzori
 
mambo kama haya mngemuuliza muumba tu...! this is unthinkable,
 
Kama badiliko kwa sisi wanaume liwe ni kubeba mimba tuu basi
itakuwa kasheshe, kwasababu uanamke siyo kuwa na uterus tuu.
Ni mambo mengi sana yanayofanikisha kuwa mwanamke, Kuanzia
ubongo,maumbule n.k.

Kwa mfano ubongo wa mwanamke uko mahiri kufanya vitu vingi
kwa wakati mmoja sasa kama sisi kitu kidogo tuu kama kuongea
kwenye simu ni lazima tupunguze sauti za tv au redio kwasababu
hatuwezi ku-process mambo mengi kwa wakati mmoja ndo tutaweza
kudeal complex task kama kubeba mimba? Usione tuu wanavyo
pendeza, hawa ni complex design, everything about a woman is a
miracle.

Hebu fikiria mjibaba anabeba mimba wakati waist to hip ratio yake
ni 1:1 sasa atawezaje kutembea akiwa na mimba? Maungo ya
mwanamke ni mapana kwenye nyonga ili mtoto aweze kukaa vizuri
wakati yeye mwenyewe aweze kufanya shughuli zake za kawaida,
kama kutembea, kukaa n.k.

Wewe KakaJambazi naona hutupendi sasa hilo hilo la kuwatokea
wanawake linatutosha hayo makopleksiti mengine ya kubeba mimba
waachie hao wenyewe.
 
Back
Top Bottom