What is all the fuss about ongoing quail egg craze?

Qsm

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
450
Reaction score
262
Jamani kwenye gazeti la SUNDAYNEWS MARCH 8, 2015 limeandika habari hizo kuhusiana na mayai ya kwale kwamba si tiba kama tulivyosikia wale wajuzi wa suala hili tafadhali tujuzane.
 
mayai ya kwale kweli yanaweza kuwa tiba ila kuwa tiba kunategemea na mambo mengi sana
 
Jamani kwenye gazeti la SUNDAYNEWS MARCH 8, 2015 limeandika habari hizo kuhusiana na mayai ya kwale kwamba si tiba kama tulivyosikia wale wajuzi wa suala hili tafadhali tujuzane.

Hilo ni sundaynews angalia wengine wanasemaje Quail Farm Home
 
Back
Top Bottom