Mkuu hii ilinikuta pia, nilinunua kiwanja mahali wakati nataka kubadilisha jina ilifanyika evaluation na maafisa ardhi wakaandika riport kwenda TRA, nilipofika TRA wakanichenchia kuwa wa thamani ya afisa ardhi wakaikataa wataka kubadika ya kwao kulingana na uzoefu wa the same property na same location, ilibidi niwapeleke baadae walikubali ingawa waliongez thamani ya property kwa asilimia 20%. so nikalazimika kulipia capital gain ya 10% ya thamani ya property
Nilichojifunza ni kuwa, capital gain inatakiwa kulipwa na Muuzaji wa property 10% ya thamani ya property -market value -iliyo kwenye mkataba wa mauzo (you have gained capital), wakati mm nalipa nililipa kwa jina la muuzaji kwani tulioverlook wakati tunauziana! ingawa biashara ilimalizika vyema.