Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Shukrani ndugu mzalendo215.
Majina tunajipea tu wakati mwingine hatujui hata maana yake ni kupenda sound zake tu.
Ngulyati,
Sina mbavu hapa nilipo! Umenkumbusha jamaa katika ununuzi wa nguo za mitumba akanunua T~shirt imeandikwa "MORTUARY ATTENDANT" na akatinga nayo kwenye sherehe anadunda mwanamme! Watu wakawa wanamshangaa na kumkodolea macho…!Kwa akili yake akawa anafikri watu wana admire alivopendeza……😁😁!