Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Shukrani ndugu mzalendo215.
Majina tunajipea tu wakati mwingine hatujui hata maana yake ni kupenda sound zake tu.
Lakini waziri wako Pompeo anapowahubiri wachina kuhusu haki za binadamu huoni aibu.Mimi niliiangalia yote nikiwa peke yangu lakini aibu nikawa naona mimi!