What is it with Tanzanians and the statement 'roho mbaya'?

What is it with Tanzanians and the statement 'roho mbaya'?

dont worry tanzanians are LDCs...they think like LDCs...wana akili ndogo...thats ur answer...plus inferiority complex
 
Well, I thought it was just here on Jamii Forums where we throw banters at each other but I noticed you guys use this statement too much.

Here in Kenya 'una roho mbaya' is one of those very deep statements that are only made when someone is really really mad, disappointed, let down and feeling so victimized and treated badly. It's not an everyday word that you just use over petty stuff. In fact using this statement twice in a week would raise eyebrows against you here in Kenya.

Interestingly in Tz it seems you guys really love throwing it around - especially against Kenyans. Today I spoke to a Tanzanian and within the first twenty minutes he'd already used the word. I then went on social media - on Wayne Rooney's page and saw so many Tanzanians using the word. Is it an inferiority complex or you guys are just easy to hurt?
Can you please translate this sheet of yours into Swahili otherwise we are not going to comment anything. It seems UNAROHO MBAYA SANA thus y you don't want us comprehend ur Msg.
 
Well, I thought it was just here on Jamii Forums where we throw banters at each other but I noticed you guys use this statement too much.

Here in Kenya 'una roho mbaya' is one of those very deep statements that are only made when someone is really really mad, disappointed, let down and feeling so victimized and treated badly. It's not an everyday word that you just use over petty stuff. In fact using this statement twice in a week would raise eyebrows against you here in Kenya.

Interestingly in Tz it seems you guys really love throwing it around - especially against Kenyans. Today I spoke to a Tanzanian and within the first twenty minutes he'd already used the word. I then went on social media - on Wayne Rooney's page and saw so many Tanzanians using the word. Is it an inferiority complex or you guys are just easy to hurt?

Ndiyo, Watanzania wanajiona inferior dhidi ya Wakenya na ndiyo maana wanachukia Wakenya ni kama defense mechanism fulani hivi, sijui ni kwa nini labda ni sababu za Kihistoria, hivyo wala usiumize kichwa!
 
Aaaaghh wakenya Wana roho mbaya bhna afu sisi wabongo wala hatuwazi wala nini wanambwela mbayaaa

Hua wanatuona sisi ndo washamba wa mwisho lkn hawajui wao walivyo washamba,,,, kavu tuu

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Nimefatilia mjadala wenu,acha niseme tu. Nyie wote hapa jf,watz kwa wakenya,mna roho mbaya aisee! Mnavobishana na kutupiana cheche za matusi,hata kuamkuana,hata utani tu ni wa roho mbaya,roho nyeusi hadi naogopa. Wah,E.Afrika ni ya watu roho mbaya tu. Mungu atuhurumie!
 
Wakenya mnapenda kutumia neno FOOL ambalo watanzaia hawaelewe kabisa. Ni nemo lisilo kubalika kwa watanzania lakini wakenya mnalitumia kama dawa ya mswaki.

MK254 unasema watanzania wanaroho mbana na wivu. Nadhani kwa maneno yako ndio unaturidhishia kama wakenya kweli mnaroho mbaya. Umekaa Tanzania na umepita sehemu nyingi, umekaribishwa ukalishwa bila hata watu kujali wewe ni wa wapi au kukudai hela ya chakula. Watanzania ni watu wakarimu sana kuliko waafrika wote, Mtanzania ni mtu anaweza kuongea na wewe bila hata kujuwa au kujali wewe ni nani au unautajiri gani. Tatizo linakuja pale ukimdharau Mtanzania, dharau ni kitu mtanzania hawezi kuvumilia.

Mkitaka kujuwa wakenya wanaroho mbaya ngoja mkutane makazini uone watakavyo kukana kikinuka. Hakuna maswala ya take one for the team.
 
Umeongea na mtanzania mmoja tu umekimbilia jf, "una roho mbaya kweli kweli". Ungeongea na watz wote je?

"the highest risk should give maximum profit"
 
Ndiyo, Watanzania wanajiona inferior dhidi ya Wakenya na ndiyo maana wanachukia Wakenya ni kama defense mechanism fulani hivi, sijui ni kwa nini labda ni sababu za Kihistoria, hivyo wala usiumize kichwa!
Aaah, I am not sure what is goin on here. Sumbody must have hacked into this account.
 
Waswahiliii ovyooo, wametaka kumla wayne rooney waza kwenye jicho mazeee!!
FB_IMG_1500053006412.jpg
 
Ukiwa nchi yenye rohombaya sana, roho mbaya inakuwa kitu cha kawaida sana, kiasi haitambuliki mpaka ifike kiwango cha juu sana, ndiyo maana Kenya mtu kuambiwa "roho mbaya" si kitu kidogo.

Ukiwa nchi ambayo roho mbaya ni nadra na watu ni vigumu kuiona, hata vitu vidogo tu ambavyo si roho mbaya sana, vinashutumiwa kuwa roho mbaya.

Ndiyo maana Watanzania kwa sababu hawana roho mbaya na hawaipendi, kitu kidogo tu utasikia roho mbaya.

Kama Magufuli. Ana roho mbaya sana. Angetukanwa kama Kenyatta angeshaua mtu.
In other words, what may be considerd roho mbaya- the attitudes of pipo regarding certain habits or behaviors vary from people to people/ place to place.

Thea4, roho mbaya is a very relative term.
 
In other words, roho mbaya is a relative term. What may be considered roho mbaya by certain people may not be so to others.

Tanzania ni wajamaa, kumnyima maji mtu aliyeomba maji ni roho mbaya kwa sababu hujamjali, umemnyima maji wakati ana kiu.

Kenya ni mabepari, kumpa maji mtu aliyeomba maji ni roho mbaya kwa sababu hujamjali, umemnyima nafasi ya kusoma somo la kujitegemea.

It's all relative.
 
Watanzania nimeishi nao na hakuna jamii yenye roho mbaya kama hawa watu, japo wanachekeana na kuamkuana kama ndugu, lakini kimya kimya wanaoneana wivu balaa na ndio maana huwa hawaendelei wapo maskini tu. Huwa wanapenda kutuita roho mbaya kwa sababu sisi tuna hulka ya kuweka mambo wazi ilhali hao wana mazoea ya kuchekeana huku wakiwa na majungu kweli kweli.

Asikuambe kitu mtu yeyote, mimi nimewaona kwa macho yangu, kwanza wanaoneana wivu sana, Mtanzania akianza kutoka kimaisha a kufaulu kwa jitihada zake wanamsema kwa chuki za kiajabu halafu wakikutana naye wanaongea kwa raha na kistaarabu.
Exactly tuna Roho mbaya but nyie ni majirani tuvumiliane tu waungwana

acha uongo
 
aaaaaaah jamani kiukwer hapa east africa wakenya mko vibaya mjirekebishe bwana tabia zenu ziwe kama za watanzania au wanyarwanda au waganda au warundi,do you guys remember yule mbibi wa kizungu alikuwa kawekeza kenya kwenye utalii na akawa na mgahawa wa kitalii na walokuwa waajiliwa ni kenyans but it was useless to you brothers,mkaa mfanyia uovu wakuchoma mgahawa na mkaenda mbali zaid hadi kumto uhai.that was so rude guys,na unapoongelea mambo za albino killings in tanzania hiyo ni issue ya mila potofu na uchawi ambayo hata kwenu iko mbona yule millionea mmama alikuwa akishiliki mapenzi na maiti hapo kwenu na mengine mengi tu,we need to change guys tuko jamii moja faida ya mtanzania ni faida ya mkenya pia

Sent from my itel_it1503 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom