What is Kenya without loans?

Swahili_Patriot

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
358
Reaction score
831
Sijakataa sawa nyinyi ndio giants of EAC. Sikatai GDP yenu ni kubwa kuliko yetu. Ila, kutokana na uhalisia ninaouona, nina uhakika GDP ya TZ inayotaka moja kwa moja kutoka vyanzo vya mapato ya Serikali inayoingizwa kwenye mzuguko wa taifa ni kubwa kuliko ya Kenya inayotoka kwa KRA hadi kwenye matumizi ya Serikali.

Kwanini ninasema hivi? Sote tunajua kuwa KRA inakusanya pesa nyingi zaidi ya TRA. Je, unadhani ni asilimia ngapi ya fedha hizo inaingizwa kwenye mzunguko wa matumizi wa Serikali baada ya pesa za kuwalipa wakoloni madeni kukatwa?

Nimelazimishwa kufikiria hivi maana kila kukicha ni madeni tu ili Kenya iweze kujiendasha. Sote tunajua Kuna possibility more than half of what KRA collects ends in your master's acc.

Kama ninachosema ni ukweli, ijapokuwa makusanyo ya ndani ya Kenya ni makubwa kuliko ya tz, bado ni pesa nyingi karibia/zaidi ya nusu ya Kra huishia kwa wanzungu.
Ninamaanisha

Kenyan GDP = TZ GDP ×2

Kenyan loans have hit beyond 40% of your national budget, so
Kenyan GDP 100-40% = 0.6%
So, Kenyan GDP, KRA0.6% + Debts = TZ GDP ×2.

Lastly, I do acknowledge Kenyan GDP is quite high to be compared to her sister nations, however, is Kenya self dependent? If no, then to what extent, reasonable or unreasonable? If unreasonable, does it really deserve to be termed as the giant of eac?

So msifurahie Kuona budget yenu inaziki kukuwa. Maana, kama inakuwa kwa kasi ya ajabu je na tozo za serikali zinakuwa pia(gharama ya maisha?) Je, thamani ya pesa yenu dhidi ya pesa nyingine inapanda au inaporomoka? Jiulizeni.

#just mere thinking n reasoning, no research done to back this article. Thanks.

#swahili_alpha
 

Attachments

  • Screenshot_20201129-113026_Chrome.jpg
    101.4 KB · Views: 4
  • Screenshot_20201129-113032_Chrome.jpg
    76.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_20201129-113128_Chrome.jpg
    116.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20201129-113131_Chrome.jpg
    111.5 KB · Views: 4
Kuna shida kukopa kama una uwezo wakulipa? Kopa ujiendeleze, lipa deni, kopa tena ujenge pengine na maisha isonge.
 
Kuna shida kukopa kama una uwezo wakulipa? Kopa ujiendeleze, lipa deni, kopa tena ujenge pengine na maisha isonge.
Tatizo Kenya mnakopa ili mlipe Madeni, mnakopa mlipe mishahara, hanma hata uwezo wa Kujenga 10km road on your own hadi mchina ahusike.

Kenya is broke. Hamna nchi hapo
 
kuna shida kukopa kama unauezo wakulipa?kopa ujiendeleze,lipa deni, kopa tena ujenge pengine na maisha isonge
Aaaaaaiiii🤣🤣🤣🤣mnakopa kufanya projects, io pesa inaibwa hence io project inafanywa half way, mnakopa tena kuimaliza, mnamaliza project na pesa ingine yote ya loan yenye imebaki inaibwa. Sasa mko na madeni kadhaa, mnakopa mnalipa % ya deni, pesa ingine inaibwa. Ni kuibwa ni kuibwa ni kuibwa. Na ni kuibwa tuuuu, na si uongo. Ona ruto, ona uhunye, ona kidero chenye alifanya nai, ona ona ona, ni kuibwa tu.
 
Kwani ni pesa ya gava ama ni pesa ya private sectors ndio inanunua banks?

Nani kakudanganya siyo hela ya GoK!!!? Ile hela ya Covid iliyoibwa, unafikiri imeenda wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…