Swahili_Patriot
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 358
- 831
Sijakataa sawa nyinyi ndio giants of EAC. Sikatai GDP yenu ni kubwa kuliko yetu. Ila, kutokana na uhalisia ninaouona, nina uhakika GDP ya TZ inayotaka moja kwa moja kutoka vyanzo vya mapato ya Serikali inayoingizwa kwenye mzuguko wa taifa ni kubwa kuliko ya Kenya inayotoka kwa KRA hadi kwenye matumizi ya Serikali.
Kwanini ninasema hivi? Sote tunajua kuwa KRA inakusanya pesa nyingi zaidi ya TRA. Je, unadhani ni asilimia ngapi ya fedha hizo inaingizwa kwenye mzunguko wa matumizi wa Serikali baada ya pesa za kuwalipa wakoloni madeni kukatwa?
Nimelazimishwa kufikiria hivi maana kila kukicha ni madeni tu ili Kenya iweze kujiendasha. Sote tunajua Kuna possibility more than half of what KRA collects ends in your master's acc.
Kama ninachosema ni ukweli, ijapokuwa makusanyo ya ndani ya Kenya ni makubwa kuliko ya tz, bado ni pesa nyingi karibia/zaidi ya nusu ya Kra huishia kwa wanzungu.
Ninamaanisha
Kenyan GDP = TZ GDP ×2
Kenyan loans have hit beyond 40% of your national budget, so
Kenyan GDP 100-40% = 0.6%
So, Kenyan GDP, KRA0.6% + Debts = TZ GDP ×2.
Lastly, I do acknowledge Kenyan GDP is quite high to be compared to her sister nations, however, is Kenya self dependent? If no, then to what extent, reasonable or unreasonable? If unreasonable, does it really deserve to be termed as the giant of eac?
So msifurahie Kuona budget yenu inaziki kukuwa. Maana, kama inakuwa kwa kasi ya ajabu je na tozo za serikali zinakuwa pia(gharama ya maisha?) Je, thamani ya pesa yenu dhidi ya pesa nyingine inapanda au inaporomoka? Jiulizeni.
#just mere thinking n reasoning, no research done to back this article. Thanks.
#swahili_alpha