What is perfection

What is perfection

perfection ni doing what you want to do in a way exactly how you wished without the change of external enviroment
what can be done without having effects to third party/external environment. an example plz
 
This is why aiming at perfection is a waste of time and resources- what is perfect today is a redundancy tomorrow. Examples: a near perfect typewriter cannot outdo the cheapest computer, the most accurate mechanical watch cannot outdo a run of the mill electronic watch,an ultra high definition LED TV is certainly much better than the almost perfect cathode ray tube TV.
 
what can be done without having effects to third party/external environment. an example plz

e.g throwing a stone to a far small hole and it falls everytime you do it,no force to reject or anykind of barrier or when you want to throw no interferance or anykind of objection
 
mbona mwanzo ulisema unategemea na mahitaji?

Because mahitaji ya leo ni kuangalia utimilifu kutoka pembe moja. Na ya kesho kutoka pembe nyingine. Hence it can not be perfect from all angles. If so then it's not multifaceted!😱
 
e.g throwing a stone to a far small hole and it falls everytime you do it,no force to reject or anykind of barrier or when you want to throw no interferance or anykind of objection
ISOSTASY ...Is it not a disturbance?
 
Because mahitaji ya leo ni kuangalia utimilifu kutoka pembe moja. Na ya kesho kutoka pembe nyingine. Hence it can not be perfect from all angles. If so then it's not multifaceted!😱

paradox...kama tutaangalia mahitaji sidhani kama kuna imperfect thing
 
nimerudi tena..kujaribu kufikiri tofauti..
I think everything is perfect!. And perhaps nothing is imperfect except for faith.
jambo linaweza likatokea likaenda kinyume na binadamu alivyopanga ama kutarajia hii inaweza kusababisha na kutokufahamu ama kutokujiandaa kujua force nature always operate following its own principle. Na hata tunapofahamu inaweza kuwa hatukujiandaa na timing ya interference nyingine zinazotokea kwa wakati huo. Ndio maana warusha ndege walipogundua makosa yatokanayo na ndege kuanguka wameweza kurusha ndege kwa ustadi. kama timing itakuwa sawa na principle za nature zitazingatiwa siku zote kilakitu ni kamilifu(pERFECT)

mwanamke hajakamilika bila mwanaume.. na hii ni nature..na haimaanishi mwanamke ama mwanaume nsio wakamilifu lah.!Ni wakamilifu based on nature. sasa swala la kusema binadamu sio perfect linakuwa halipo kwakuwa nature inasheria zake.

NB: In most cases wanaofanya mabadiliko na kuleta maendeleo duniani siku zote wanajaribu kuzuia nature isichukue nafas
i: Nature is sometimes obtacles to development.

mfano: kurusha kitu kwenda kwenye space ni kushindana na nature ya gravity ambayo ipo na ni halisi. ukishindwa kuishinda ni wazi chombo kitaanguka. Na kushindwa huku inaweza kuwa chombo kimeishiwa mafuta(principle ya mafuta), ama kiwango sahihi cha kuzuia gravity hakijatumika. ama sababu nyingine yenye kanuni(principle)

pia kijamii; tukiheshimu nature imetuumba maskini basi ni wazi hadi mwisho wa siku tutaendelea kuwa maskini.mfano ni Caste System ya INDia. kama tutaamini tunaweza kuibadili nature ni wazi tutafikia maendeleo makubwa sana.
 
Mkuu 2013 unaposema ugunduzi wa ndege ume violate nature nashindwa kukuelewa kwa sababu ndege inaruka kwa kuiga ndege ambao ni viumbe hai ambavyo vinaruka kwa kuobserve physics ya nature hiyo hiyo. They are not trained on how to fly. It's natural. Kwenye indian caste system mathalani kati ya dalits na brahmins nadhani ni swala la kiimani na kisaikolojia zaidi na pia linaathiriwa na mazingira.
 
Mkuu.nitajaribu kufafanua jap sijui kama nitaeleweka..
Nature inataka GF ivute vitu vyote chini.. lakini Ndege ina mass kubwa na ili ipae inakuwa ime-violet nature pale ambapo gravity ina pull down yenyewe ikawa ina-go against force of gravity.. other way isingepaa kama ingeenda sambamba na GF.tukifahamu kuwa GF is natural.

Pengine ndege warukao(wanyama) wanafuata nature inayoweza kuwafanya waweze kuruka bila matatizo.nature hii inahusiana na kutafuta force inayoweza kuizidi GF ili waweze kupaa.Na lengo lao linafanikiwa kupitia ku-manipulate kanuni za nature.

ikiwa Ndege wa nyama wangekuwa kwenye space ambapo hakuna GF wangekuwa wanaelea tu. Bahati nzuri maumbile yao.. nguvu za mabawa yao na uzito wa mifupa na misuli imeundwa kuwawezesha waweze kuruka vyema kwenye hii GF...That is perfection ambayo Mungu aliumba. Kama unaamini katika Mungu*

Kama umewahi kumfuatilia newtons kuna story inasema aliwahi kujiuliza kwanini unyoya unaelea na embe linadondoka chini kutokea kwenye mti. Embe linadondoka kwakuwa linafuata nature ambayo inauhusiano na gravitationa force (part of earth nature)..

Kuhusu caste system:
hapa kuna sociology na mambo mengi ya kujadili kama maendeleo; pengine kuna jamii ng'ombe ndio maendeleo, kuwa na wake wengi ndio maendeleo, kuwa na maghorofa ndio maendeleo. lakini kila achievement ya binadamu hutokea pale anapojaribu kuvunja force of nature. Bush men wa kalahari na waadzabe wa arusha wameendana na nature ndio maana hawavai nguo hawajihisi maskini wanakula mizizi nk. Lakini wakitaka wabadilike na kupiga hatua ni lazima wabadilishe zao la Sufi na pamba kuwa vitambaa na nguo. Itabidi wagundue chuma waweze kuunda magari nk.sasa vitendo vya kuvaa nguo, kuwa na viwanda vinapelekea polution katika mazingira n.k. vinalengo la ku-violet nature and perhaps in a more positive way.
vilevile Caste system: inasemekana jamii ile wanaaamini kuna watu wameumbwa maskini na kuna watu wameumbwa matajiri..hivyo hakuna juhudi wala chochote kinachoweza kumtoa mtu daraja la chini kwenda daraja la juu kwakuwa anastahili pale alipo. Kama alilaaniwa amelaaniwa na kama alibarikiwa amebarikiwa.
Kanuni ya kujikubali na "hali" yako inatokana na nature ulipozaliwa na ama kukulia.
hivyo basi ikiwa ni maskini ni wazi utaishi ukijikubali hivyo milele na hutafanya juhudi yoyote kubadilisha hali na ikiwa unajikubali wewe ni tajiri basi utaishi ukitafuta utajiri na maendeleo.Sasa ili ku-pata mabadiliko chanya inabidi u-violet nature.

it is not ,and it is better what i mean no any kind of interaction in your intention or thought when behaving in anymanner that is perfection
is perfection cognitive or non cognitive judgement?
 
nimerudi tena..kujaribu kufikiri tofauti..
I think everything is perfect!. And perhaps nothing is imperfect except for faith.
jambo linaweza likatokea likaenda kinyume na binadamu alivyopanga ama kutarajia hii inaweza kusababisha na kutokufahamu ama kutokujiandaa kujua force nature always operate following its own principle. Na hata tunapofahamu inaweza kuwa hatukujiandaa na timing ya interference nyingine zinazotokea kwa wakati huo. Ndio maana warusha ndege walipogundua makosa yatokanayo na ndege kuanguka wameweza kurusha ndege kwa ustadi. kama timing itakuwa sawa na principle za nature zitazingatiwa siku zote kilakitu ni kamilifu(pERFECT)

mwanamke hajakamilika bila mwanaume.. na hii ni nature..na haimaanishi mwanamke ama mwanaume nsio wakamilifu lah.!Ni wakamilifu based on nature. sasa swala la kusema binadamu sio perfect linakuwa halipo kwakuwa nature inasheria zake.

NB: In most cases wanaofanya mabadiliko na kuleta maendeleo duniani siku zote wanajaribu kuzuia nature isichukue nafas
i: Nature is sometimes obtacles to development.

mfano: kurusha kitu kwenda kwenye space ni kushindana na nature ya gravity ambayo ipo na ni halisi. ukishindwa kuishinda ni wazi chombo kitaanguka. Na kushindwa huku inaweza kuwa chombo kimeishiwa mafuta(principle ya mafuta), ama kiwango sahihi cha kuzuia gravity hakijatumika. ama sababu nyingine yenye kanuni(principle)

pia kijamii; tukiheshimu nature imetuumba maskini basi ni wazi hadi mwisho wa siku tutaendelea kuwa maskini.mfano ni Caste System ya INDia. kama tutaamini tunaweza kuibadili nature ni wazi tutafikia maendeleo makubwa sana.

nashkuruu ila hebu nielezee kwa undani hayo nliyopigia mistari?
 
Everything is perfect:
Because No matter how large the problem is ...Nature offers us the solution. Education is the key to study nature.
Earth is perfect that is why it allows Human and diverse of organism to thrive best. Planets zingine hazijaweza ku-habour a large number of species like the earth.
Mzungu hakuwa mweupe kwa bahati mbaya na mwafrika hakuwa mweusi kwa bahati mbaya...Utakuja gundua hata the Moon unafaida fulani katika earth. kama kutoa mwanga usiku, Kupwa na kujaa kwa bahari.. n.k.

mwanamke hajakamilika bila mwanaume...haimaanishi mwanamke ama mwanaume sio wakamilifu lah.

Death ni miongoni mwa vitu human anakiogopa lakini sana.. lakini Nature offers us the solution whereby we can reproduce other offsprings which can ensure life is moving on.Hapa mwanamke anahitaji Mwanaume and vice versa is true.
Kwahiyo life will continue as long as reproduction is maintain. Na ingekuwa kwamba there's no death at all .. Dunia ingeshajaa miaka millions iliyopita..Na kungekuwa na tatizo duniani la chakula, Hewa, Maji safi na salama. it could be a catastrophe.

Kisaikolojia.. Dunia inaweza kuwa na raha zote za kula matunda na chakula cha kila aina lakini Mapenzi* surpass all..That is where the pefection of humanbeing is being realized. Pia baadhi ya Dini zinatambua hili la jinsi mbili kuhitajiana.
 
accordingg to oxford english dictionary 11th edition.. perfect is defined as free from any flaws, faultless.
unakubaliana na hiyo maana?
 
Back
Top Bottom