What is PPP?

What is PPP?

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
1,632
Reaction score
481
Sina uhakika ka watoa ajira serikalini wanafahamu vyema kuhusu hii kitu nchini…PPP (Public Private Partnership) kuna hiki ‘kiini macho ka si kiini yai’ inasemekana kipo hapa nchini.Inachonishangaza inakuwaje mwajiriwa wa Private anapotoka huko na kuajiriwa serikalini ‘Public’ kwa kazi ile ile ambayo alikuwa anafanya huko ‘Private’; akiingia serikalini anaanza na ngazi / cheo na mishahara ya mwanzo kabisa wakati alikuwa ni mzoefu sana tu wa hiyo kazi? Na wakati mwingine unakuta alikuwa analipwa kwa mshahara wa serikali wa juu, leo kaingia serikalini jina lile lile na kazi ile ile, iweje analipwa mshahara kiduchu!? Ina maana hata hazina wanashindwa kutambua kuwa huyo ni mtu ni yule yule iweje analipwa tofauti tofauti; yaani miaka inavyosonga ndo mshahara unashuka, badala ya kupanda! Mi naona hili nalo ka nia ajabu… Sioni uPartnership wowote!Halafu wataalamu wakiamua kuvujisha ubongo ‘brain drain” nchini mnaanza kubwabwaja! Au nasi tuanze mkakati ka walimu ndo mtuelewe jamani…Ngoja na wahanga wa hii kadhia nao waje waweke mawazo yao….
 
umenstua pia,wacha nijaribu kucheck details za PPP,Kama kuna hicho kipengele cha kuhusu ajira au ni namna gani kinaweza kutafsiriwa kuwa kimo,halafu nitarudi hapa. imenigusa kweli kwakuwa sasa nafanya private institution lakini baadaye nitakwenda serikalini.ili nianze maandalizi mapema kabla ya kufika huko.
 
Back
Top Bottom