Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Oct 15, 2012 #21 Kazaliwa na anapeta tu Ila ukikaa ukatafakari sana, hakuna kitu 'material' kikubwa unaweza mpa mtu labda saaaaana 'honesty and sincerity' Ndio maana nikasema sioni kikubwa nilichowahi toa. St. Paka Mweusi said: Hajazaliwa bado,samahani....... Click to expand...
Kazaliwa na anapeta tu Ila ukikaa ukatafakari sana, hakuna kitu 'material' kikubwa unaweza mpa mtu labda saaaaana 'honesty and sincerity' Ndio maana nikasema sioni kikubwa nilichowahi toa. St. Paka Mweusi said: Hajazaliwa bado,samahani....... Click to expand...
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Oct 15, 2012 #22 Mbona husemi nilivyokupaga nyumba. Bishanga said: kumvunja usichana wake,chezeiya bishanga! Click to expand...
Mbona husemi nilivyokupaga nyumba. Bishanga said: kumvunja usichana wake,chezeiya bishanga! Click to expand...
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Oct 15, 2012 #23 Mmmh, akyamama wewe nakufuata PM Kuna kitu hapa ?????????? Umejuaje mie virgin?? na wakati ni siri kuu? Bishanga said: king,vipi humu chitchat wamo? Jungukuu linasema Kongosho hajawahi guswa. Click to expand...
Mmmh, akyamama wewe nakufuata PM Kuna kitu hapa ?????????? Umejuaje mie virgin?? na wakati ni siri kuu? Bishanga said: king,vipi humu chitchat wamo? Jungukuu linasema Kongosho hajawahi guswa. Click to expand...
V Von Mo JF-Expert Member Joined May 7, 2012 Posts 1,819 Reaction score 1,188 Oct 15, 2012 #24 1.SOUL 2.ATM Card
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Oct 15, 2012 #25 Mi nilimpa zawadi nyingi sana, lakini alichofurahia hajasahau mpaka leo ni lolpop