Strong
JF-Expert Member
- Jun 9, 2013
- 515
- 454
preventio na transmissio kwann unakata maneno unataka kuongea kifaransa??Mkuuu maana ya hiyo ni preventio mother to child transimissio yaan Ana HIV positive
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
preventio na transmissio kwann unakata maneno unataka kuongea kifaransa??Mkuuu maana ya hiyo ni preventio mother to child transimissio yaan Ana HIV positive
Sent using Jamii Forums mobile app
Neema uko drs la ngapi mdg wng?Mm ndo doctor xaxa natoa conclusion coz na utaalam na haya mambo, mama mjamzto ukienda hospital unapmwa ukikutwa na ukimwi unaambiwa kabxa wala hawakufch wanakupa na ushaur icpokuwa kweny card ya clinic hawandk direct kwamba HIV+ wanatumia hyo lugha ya PMTCT2 Kwajil tu ya kumfchia sir mama mjamzto watu wacjue endapo watashka card yake na pale clinik kweny folen mtu unaeza mpa card akushikie huwa wanatabia ya kuchungulia ili wajue umeathirika au lah! Ndomana wanandka Vle ili wacjuane nan kaathirika na nan hajaathirka coz watanzania tunapenda ubuyu hatuchelew kwenda kutangazana mitaan lakn mtu kweny nafsi yake anakuwa anajijua toka amepma anaambiwa wala hawamfch. Hili ndojbu hata msihangaike tena mm my Dad ni doctor
1 positiveHaya mambo yanachanganya sana maana wengine wanasema PMTCT 1 ni negative na PMTCT 2 ni Positive sasa nani wa kumwamini?.....Ila kuna sehemu niliona kwenye kadi ya clinic wameandika PMTCT 1N (mtoto apewe dawa) sasa sikujua wana maana gani! Haya mambo yanachanganya sana wajameni!
Na kirefu cha MRDT je?: na interpretation. YakePMTCT, hili neno hutumika kwa mama mjamzito/wajawazito tuhh, sasa sijui kwa nini wamekuandika hivi, labda awe make ana mimba ndo hutumika hii neno kureport.
Mara nyingi sana tuatumia P.I.T.C
•let example; FEMALE
P.I.T.C N.R FM/AD
R. FM/AD
•for MALE
P.I.T.C N.R M/AD
R. M/AD
FM = Female
AD= Adult
M=Male
YD=Young Child
N.R = None Reactive
R= Reactive
Kmmamae hii Code ya Wizara ya Afya imenitesa kinoma leo. Hatimae mama watoto kaibuka na kidede na PMTCT 2 katika kadi.Prevention of mother to child transmission
Pmtct 1-hiv positive(+) mother
Pmtct2-hiv negative(-) mother
Dah ndio nlikuw natafuta huko google wanazunguka tu sielewi hadi nlipokutana na huu Uzi, thanks ni PMTCT 2💪Kmmamae hii Code ya Wizara ya Afya imenitesa kinoma leo. Hatimae mama watoto kaibuka na kidede na PMTCT 2 katika kadi.
Nimeteseka kung'amua jibu la hio code maana google haisemi nazungushwa tu kila page ni PDF za kusoma.
Leo nina furaha sana jamani hatimae leo nimeruka kihunzi baada ya kukabwa Clinic ili kutest Ngoma na mama watoto na kujikuta niko Clean na yeye yupo safi. Kuanzia leo ubaharia basiii 😂😂😂