Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Kwenye maisha kuna mambo mengi hutokea,Ila si kila lililokutokea wewe basi lazima litamtokea na mwengine au lililomtokea mwengine lazima likutokee na wewe. Lakini ajabu kwenye kifo kila mtu huamini lazima atakufa japo hajui ni kifo cha aina gani!