Tz mbongo JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 13,332 Reaction score 7,351 Aug 16, 2018 #21 Kwenye maisha kuna mambo mengi hutokea,Ila si kila lililokutokea wewe basi lazima litamtokea na mwengine au lililomtokea mwengine lazima likutokee na wewe. Lakini ajabu kwenye kifo kila mtu huamini lazima atakufa japo hajui ni kifo cha aina gani!
Kwenye maisha kuna mambo mengi hutokea,Ila si kila lililokutokea wewe basi lazima litamtokea na mwengine au lililomtokea mwengine lazima likutokee na wewe. Lakini ajabu kwenye kifo kila mtu huamini lazima atakufa japo hajui ni kifo cha aina gani!