Punguza makasiriko jombaaKajitongozesha insta unategemea nini? Wakina Mo J wazee wa kutoa mimba au sio? Wanawake wanawafuata wenyewe wanapigwa upako wa mimba? Baby mama ndio nini?
Sio huyo ni J Melody, huyu mtongozwa insta ni mwingine wanawake wanajilengesha wenyewe wanataka mimba za insta GiggyHovyo kabisa. Hivi huyu mo j ndiyo aliimba ule wimbo mzuri na Billinass? Tena nika subscribe? Najiondoa Leo. Wanaume hatuko hivyo bro.
Mkuu sipo na makasiriko Ila wanawake visabengo qmamake hata huyo alienae sasa tunamsomea muda tu watatifuana hawa viumbe akili zao zipo kwenye siku zao tuPunguza makasiriko jombaa
Agiza popcorn angalia show.
Giggy money kazaa na sampuli inayofanana naye.
Lakini Mo Jay atakuwa anahudumia laana fulani tusiyoijua
Kwa ile situation ana haki ya kulia.Giggy anajiliza huku kapaka make-up na kope za bandia watafack sijaelewa unazungumzia nini hizo ni Drama na Giggy ni mmoja wa Drama Queen anaejulikana na kila mtu hata yeye ameshasema mbele ya camera mara kadhaa kua amekua akifanya Drama, aendelee na kufanya Drama
HahahahMkuu sipo na makasiriko Ila wanawake visabengo qmamake hata huyo alienae sasa tunamsomea muda tu watatifuana hawa viumbe akili zao zipo kwenye siku zao tu
Namponda sababu ya upuuzi na kishapoteza sifa za uanaume, mwanaume gani unaongozwa na mwanamke kisa ugomvi wao,hivi ww unaweza shindana na mwanamke kuongea we? Au nyie ndio wale mnaosutana na wanawake mikono kiunoni mixer vidole juu, maanake ukishindana kuongea na mwanamke kuna siku utasutana nae na hapo ndipo wanaume wenzako watakuona una walakini.So Giggy ndio katengeneza ujinga wote, alafu mwanaume anaemponda mwanaume sioni km ni mwanaume
Yaan hata sifa za mwanaume huzijui Ila basi ngoja niache miyeyusho mkuu baki na unachokielewadogo mwanaume sifa yake sio kuzalisha, mwanaume ni MAAMUZI, MSIMAMO, MALEZI na KUUBEBA MSALABA WAKO NA FAMILIA. Kama hunasifa hizo wewe ni MVULANA na sio MWANAUME.
Drama parents hao ๐Hahahah
Pisi kali zinapenda kuzaa na sura nzuri. Lakini malipo yake ni heavy.
Mwache ahudumie malipo ya kuzaa na handsome boy.
Depal umemuona Mo Jay katika ubora wake? Kijana fundi wa kujiapiza na kusuta kwa vidole hewani๐๐
Mo Jay pisi kali kws Gigy au sio?Drama parents hao ๐
Kwahiyo Mo J kamfata Gigy kwake ni anataka kumpora mtoto? Huyo Mo ni mwehu. Kuna ICU ya week flan ktk mwezi uliopita nadhani inasemekana Mo kampiga mtoto mdogo wa mwaka na points hivi kama sijasahau. Gigy kma kawaida akaingia kwenye familia yake Insta Live akanza kuongea kuhusu ile issue kisa ye kazaa nae.
Huyo chalii ana mashtaka police,, bado hakomi anaenda kusaka mapya ๐
Yah.. iko wazi ๐Mo Jay pisi kali kws Gigy au sio?
Mo Jay anazidi kujiryndikia mashtaka maana kumvamia Gigi Mane kwake ni kosa na ushahidi wa video unaonesha aliambatana na mke mwenzake kwenda kumsuta Giggy.
Pisi kali za kiume wanatrend sana kwenye korido za malavidavi
Kosa lingine baya zaidi, huyo anayeishi na Gigy Jay amekuja na mtoto na kuhatarisha maisha ya malaika yule maskini.Yah.. iko wazi ๐
Ah sheria itafata mkondo wake.. mambo yao waachieni wenyewe.
๐
Akili mtu wangu akili ๐Kosa lingine baya zaidi, huyo anayeishi na Gigy Jay amekuja na mtoto na kuhatarisha maisha ya malaika yule maskini.
Isijekuwa yeye ndo kamwambia Mo twen'zetu tukamsute Gigy.
Dunia mbarambere hii kha!
Nilikuwa youtube napita pita nikaona hii clip ya Giggy money nimekuwa disappointed, hata kama mna tofauti kubwa vipi , mwanaume lijali you don't go out and fight na baby mama wako. a simple dinner ya kuelewana could solve this, yani mtangazaji una beba na mke wako to a fight, why?!! ๐ฎ Wapeni vijana walio serious kazi za media, learn to separate work and personal life, Giggy atafute lawyer ampige hela yeye na employer wake. Ffs
Inaonekana gift kamua kumove Ina Soo dogo amini maana washazoea Hawa vijana madem zaoo wadange arafu waje kuhongwa Sasa gigy inaonekana kasepa mazima anagongwa aendi kugonga mo kapanic haminiNilikuwa youtube napita pita nikaona hii clip ya Giggy money nimekuwa disappointed, hata kama mna tofauti kubwa vipi , mwanaume lijali you don't go out and fight na baby mama wako. a simple dinner ya kuelewana could solve this, yani mtangazaji una beba na mke wako to a fight, why?!! ๐ฎ Wapeni vijana walio serious kazi za media, learn to separate work and personal life, Giggy atafute lawyer ampige hela yeye na employer wake. Ffs
Duniani ya Sasa hata mtu kama wewe lazima utawajua tu wanawake, sembuse Mimi.Huwajui wanawake mwanaume utakaza yakijaa lazima uongee yaan atakuchokonoa kila angle utaongea tu, wewe unasema hivyo sababu huwajui wanawake unawasikia na kuwaona tu
Na sina muda wa kumwelesha mjinga.Wahenga walisema akili ni nywele ila hawa kuidentify za eneo gani.Yaan hata sifa za mwanaume huzijui Ila basi ngoja niache miyeyusho mkuu baki na unachokielewa
Kazi kweri kweriKwahiyo huo kijana mwembamba mwenye ndevu ni msanii wa kongo?