What is this ? Mo Jay??!

What is this ? Mo Jay??!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwanaume unaenda kwenye ugomvi na kichwa cha kuku huku umeshikilia simu unabweka tuuuu mbele huendi unarudi nyuma nje ya ukuta[emoji1787][emoji1787]
 
hajui kwamba huwezi kushindana na mwanamke kuongea na ugomvi wa wanawake hutakiwi kuingilia
Giggy anajiliza huku kapaka make-up na kope za bandia watafack sijaelewa unazungumzia nini hizo ni Drama na Giggy ni mmoja wa Drama Queen anaejulikana na kila mtu hata yeye ameshasema mbele ya camera mara kadhaa kua amekua akifanya Drama, aendelee na kufanya Drama
 
Nilikuwa youtube napita pita nikaona hii clip ya Giggy money nimekuwa disappointed, hata kama mna tofauti kubwa vipi , mwanaume lijali you don't go out and fight na baby mama wako. a simple dinner ya kuelewana could solve this, yani mtangazaji una beba na mke wako to a fight, why?!! 🚮 Wapeni vijana walio serious kazi za media, learn to separate work and personal life, Giggy atafute lawyer ampige hela yeye na employer wake. Ffs

Somo liende kwa pisikali wanaohaha na mahandisome kwenye korido za kuchakatana.

Giggy kayavagaa na yanampalia haswaa
 
Back
Top Bottom